Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

Unajua kuna kitu naona police wanafanya ujinga sana
KUNA JAMBO HAPA KILOSA LIMETOKEA UGONVI KATI WAKULIMA NA WAFUGUJI
WAFUGAJI WA KIMASAI WAKAUA MKULIMA SSA WAKAITWA POLICE HAWAKUJA ILA KUNA MKULIMA ALIKUWA ANAPITA NA MBUZI KAMA 200 WANAINCHI WALIGAWANA MBUZI NA POLICE WALIVYOPIGIWA SIMU WAKAJA so walipofika kukatokea ugonvi mkubwa sana police waliua raia
Ss police wamanza msako wanakata vijana wote kijiji tena usiku NI SAHIHI KUKAMATA VIJANA USIKU NAW WANALALA PORIN WAKIOGOPA KUKAMATWA NA KUPELEKWA LUOANGO VIJANA WENGINE HAWAPO KABISAAA WAMEKIMBIA NDIO MAAANA NASEMA POLICE WA TANZANIA NI MALI YA CCM NA TAJIRI
 
Kosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Hivi CCM kupandika mapicha picha kwenye majengo ya watu bila ridhaa, na hii imekaaje? Tena kipindi cha uchaguzi

Au ndio ile kauli ya Chacha kila kitu mali ya ccm?
 
Screenshot_20261005-032005.jpg
 
hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?

environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.

na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
Hii ni sahihi hata kwa akili ya kawaida. Inahitaji ridhaa ya mwenye mali.
Lkn pia hili halijaja kwa bahati mbaya bali litatumika kama mfano siku zijazo, hasa nyakati za chaguzi. CCM ni vinara wa kubandika mabango yao sehemu yoyote wanayoona inawafaa tena bila ridhaa ya wenye mali.
Mf. Mwaka jana alikamatwa raia mmoja kwa tuhuma za kuchana kipeperushi/bango la Samia kilichobandikwa kwenye uzio wa nyumba yake.
 
NAWAZA KWA SAUTI.

1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?

2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police

3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?

Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika

"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.

Umewaza vizuri sana
 
Hii ni sahihi hata kwa akili ya kawaida. Inahitaji ridhaa ya mwenye mali.
Lkn pia hili halijaja kwa bahati mbaya bali litatumika kama mfano siku zijazo, hasa nyakati za chaguzi. CCM ni vinara wa kubandika mabango yao sehemu yoyote wanayoona inawafaa tena bila ridhaa ya wenye mali.
Mf. Mwaka jana alikamatwa raia mmoja kwa tuhuma za kuchana kipeperushi/bango la Samia kilichobandikwa kwenye uzio wa nyumba yake.
Yes,
kuchana zana za kazi za mwanachama wa chama cha siasa kisichokuhusu ni kosa kisheria. Hujuma hiyo ikithibitika pasina shaka yoyote ni lazima ulipe fidia ya gharama alizotumia uliomchania mabango au vipeperushi vyake.

ni makosa mabaya zaidi kuvamia na kuchafu mazingira ikiwa ni pamoja na kupaka rangi ukuta bila ridhaa ya wenyewe.
Usithubutu kufanya hiyo nonsense, itakugharimu kisheria plz 🐒
 
Uhaini full stop!!
wameishiwa mbinu za kiakili ku deal na upinzani!na upinzani ndio uhai wa chama tawala ukishaua upinzani na Champa tawala kimekufa!!
 
Yes,
kuchana zana za kazi za mwanachama wa chama cha siasa kisichokuhusu ni kosa kisheria. Hujuma hiyo ikithibitika pasina shaka yoyote ni lazima ulipe fidia ya gharama alizotumia uliomchania mabango au vipeperushi vyake.

ni makosa mabaya zaidi kuvamia na kuchafu mazingira ikiwa ni pamoja na kupaka rangi ukuta bila ridhaa ya wenyewe.
Usithubutu kufanya hiyo nonsense, itakugharimu kisheria plz 🐒
Hiyo ya kubandika banduka mabango ya CCM kwenye kuta za watu bila ridhaa yao ndiyo hoja.
 
Hiyo ya kubandika banduka mabango ya CCM kwenye kuta za watu bila ridhaa yao ndiyo hoja.
hiyo ni porojo tu gentleman,
but nakushauri usiwahi kujaribu kufanya hiyo nonsense 🐒
 
Kwani si tumeambiwa polisi ni mali ya CCM, mtoto amekutwa ameuawa amekatwa na mkono taarifa hamna, ila hilo la CCM tayari aliyechora kakamatwa
 
Back
Top Bottom