- Thread starter
- #41
Kosa gani? Propose one! Mimo nita propose baadayeNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Kosa gani? Propose one! Mimo nita propose baadayeNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Ni kosa kisheria, may be criminal trespass, kuharibu mali.. destruction of property and the likeHuwezi kusema kuandika ukuta mali ya mtu mwingine sio kosa. Ingekuwa hivyo tuanze kuchora magari ya watu hovyo hovyo.
La muhimu atendewe haki yaani kufikishwa mahakamani
Kifungu cha 326 (1) – Uharibifu wa Mali kwa Makusudi (Malicious Damage to Property)
Chini ya kifungu hiki: [1]
- Kosa: Mtu yeyote ambaye kwa makusudi na kinyume cha sheria anaharibu au kudhuru mali yoyote, anatenda kosa la jinai.
umeiruka kabisa post yangu ili uendeleze ubishiKosa gani? Propose one! Mimo nita propose baadaye
Assnte Mshana kwa kuedit picha.
Mali ya mama yako mzazi??Kuharibu Mali
Pilisi tanzania ni mali ya CCMPolisi wameact haraka hata kabla ya CCM kwenda kuripoti tukio. Ni kwa sababu hicho chama ndo bwana wao
UKiambiwa utaje hiyo sheria utaishia kujambajamba tu.Ni kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Bila overt act walivyo takataka katugaAtashitakiwa kwa uhaini wa maandishi
Fafanua kiongozi kuhusu kuharibika kwa mali.Kosa hilo kuharibu Mali Wakili mpumbavu huyo Penal Code S. 326 na S. 299 RE 2023
Kweli kabisa, hiyo ni mali ya CCM, angeandika mama mitano tena.Kuharibu Mali hakuna kosa la kuchafua Ukuta kosa Kuharibu Mali chini ya Kifungu 326 cha sheria ya adhabu ya makosa ya jinai
Njoo nikujambie mdomoni! Kuchora mali ya mtu ni kosaUKiambiwa utaje hiyo sheria utaishia kujambajamba tu.
Hapo ata shtakiwa kwa kosa la Vandalism.Yes mkuu kuharibu mali iko S.326 ya Penal code anaweza kunyoa hata miaka 7 watu wanachukulia poa umeenda ume spray mali si ya kwako? Bila ruhusa yoyote? Ananyoa hiyo
Mali ya mama yako mzazi??
Hongera sana mkuuOk guys najua haiwahusu ila leo nimefanikiwa kupata kitambulisho cha nida
Kwenda zako na wewe,usinipite mwokozi!hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?
environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.
na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒