Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Huyo boya puto kwanza kaleta dharau kwasisi wala wali maharage live.
Eti alipokula sijui aliharisha siku 3.
Sisi tunakula maharage na mpunga kila siku,hata iwe eid pasaka twende.
Huyu mbuzi eti aliharisha.
Kazaliwa wapi huyu.
 
Huyo boya puto kwanza kaleta dharau kwasisi wala wali maharage live.
Eti alipokula sijui aliharisha siku 3.
Sisi tunakula maharage na mpunga kila siku,hata iwe eid pasaka twende.
Huyu mbuzi eti aliharisha.
Kazaliwa wapi huyu.
Kazaliwa na kukulia kigoma,kajamjini ukubwani,kilichomletaa mjini ni BSS shukrani kwa madam Ritta
 
Ila watu wa humu mna balaa.
Okay, mke mdogo nipo hapa....nitampa ushauri wenu.

Ila sidhani kama aliwahi weka puto.
Nadhani ile ilikuwa chai tu.
Ninawafahamu vyema watu si chini ya 5 waliowekewa puto Mloganzila Hospital na wakafanikiwa kupunguza uzito vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…