Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

Dhiki mbaya sana. Alijaribu ku impress watu kwa kitambi. Umaskini unawafanya waamini kitambi ni status symbol. Hasahasa malimbukeni, mwenzake nae baba levo tena anakisifia kabisa, eti hakimwashi😂
 
Daaa, wejamaa mbona umewaza vilevile
 
Jamaa nimemwona anajielewa, wewe inakuuma nini kama ataishi au atakufa? Afya yake inakuwaje tatizo kwako hadi utoke hadharani kumpa ushauri? Huna ndugu au marafiki wa karibu ambao pengine wangehitaji na kunufaika na ushauri wako, tena kwa faragha?
 
Hata mi nahisi hajaweka puto,huyu hata akiishi miaka mingiila atachapiwa sana
Jamaa nimemwona anajielewa, wewe inakuuma nin kama ataishi au atakufa?
Hujielewi siku ukikua utaelewa
 
Daaa...zote ni point muhimu sana mkuu.....Bravo✌️

Kunakujiwahisha kwa matendo yetu binafsi🙏🏽
 
NI NANI HUYO MTU? KILA MTU AKIANZA KULETA PICHA ZA NDUGU ZAKE AU RAFIKI ZAKE KUWASEMA HUMU TUTAELEWANA KWELI? ANAJIHUSISHA NA NINI AU NI NANI?
 
Mimi nawapa Ushauri tu, hakikisha Una Alkaline nyingi mwilini.

Usikose limao kila siku, chai kamulia nusu limao, kabla ya kulala glasi ya maji kamulia nusu ya limao.

Fanya huu kuwa mtindo wako wa maisha utaepuka mengi.

Mimi sifanyi diet yoyote lakini siwezi kutoka kitambi hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…