Ndio ujiulize sasa.
Acha kujiandikia kitu ambacho hukijui,acha sifa za kijinga,nimekuuliza unajua maana ya Sunnah umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.Jiulize wewe unayeona umuhimu wa kuchekewa humu
Acha kujiandikia kitu ambacho hukijui,acha sifa za kijinga,nimekuuliza unajua maana ya Sunnah umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.
Shobo ndio nini? unadhani mimi ndio wale wakubabaika na vi Avatar feki hivyo?Nimekuelewa
Na wewe naomba uache shobo
Shobo ndio nini? unadhani mimi ndio wale wakubabaika na vi Avatar feki hivyo?
Shati la mchechu linafunika starlet.
Mchechu sehemu kubwa itakua ni kuzama chumvini tu maana mashine hawezi kusukuma nyama.
Kaa pembeni huna ujualo.Hapana,wewe sio wale wanaobabaika na viavatar fake
Zingatia tu kuacha shobo
Kaa pembeni huna ujualo.
Peter Msechu namfahamu na ndugu zake ni Wagweno wanaishi pale Bakwata kwa juu, ni wembamba
Nilishangaa sana aliposema kuwa kwao wote ni wanene na yeye ndio mwembamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mkuu, sio wa Kigoma wala si Mchagga
Hapana Mkuu, sio wa Kigoma wala si Mchagga
Ni Mpare wa Ugweno na kwao ni eneo linaloitwa Bakwata, napafahamu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa yani 40 mi Nilidhani 70,80Ila Kuna wengine wanene wanatoboa mpaka miaka 40 bado wako hai
Mwambie na Rais wa Tanganyika Law society kaoa mwaka Jana akiwa na 50+yrsMbona sugu kaoa juzi juzi tu..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahHuyo jamaa huo mwili anaulea,ni aina flani ya watu ambao wanaamini kunenepa ni mafanikio katika maisha.