Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Acha kujiandikia kitu ambacho hukijui,acha sifa za kijinga,nimekuuliza unajua maana ya Sunnah umebaki kurukaruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla.

Nimekuelewa

Na wewe naomba uache shobo
 
Nimeona picha zake akiwa kwenye msiba aisee huyu jamaa amezidi kunawiri balaa mara mbili ya alivyokua wakati huu uzi unaandikwa.
 
Back
Top Bottom