Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

Mkuu kilo 90 kivipi?
Mimi na weigh 87 to 90 net lakini ni mwepesi tu na joging nawapeleka moto watoto wadogo

Au maumbo ya mwili yanatofautiana
 
Sasa sahani 2 tu ndio mnamsimanga?
 
Hahahaaa, hio nishawahi mshuhudia boss wangu anamcheka jamaa mmoja tulikutana naye sehemu mnene sana bahati mbaya ni mfupi!
Jamaa alicheka sana, wakati hata sie huwa tunamahangaa tumbo lilivyozidi [emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utaumwa njaa tuu, tumbo halielewi, Tena ukiwa mnene ndo njaa inakuwa nyingi kuliko ukiwa mwembamba.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Jana TU asbh saa 4 nilimtembelea rafk yangu bonge flani ofsn kwake, tulkua na kikao flani.

nilishangaa jamaa anapiga chapati 4 na maziwa nusu Lita. Kapiga yote mpk kamaliza.

Mi nilikunywa kikombe robo na chapat moja nikatosheka

Saa 7 tu analalamika njaa inauma,
Kapiga Simu nyumbn anafoka wawaishe ugali,Wakati Mimi bado nahs nmeshiba[emoji1787]
 

Utumbo wake ushapanuka huyo kajizoesha kula sanaa
 
And That's Evil too πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ule unene ni wa kulakula ovyo sijuwi au limeridhika
Aende jkt akakae mwaka mmoja huko apelekeshwe mpelampela atanyooka

Ova

JKT wanavyopenda kucheza na vibonge, wakimkomalia ndani ya miezi miwili tu ataona mabadiliko 😁
 
Kuna hili lenzake hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20230130-073213_Instagram.jpg
    55.2 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…