Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.

Nashangaa sahivi kapata reward za kupenda kula analalamika tena😂.

Tusijidanganye wanene wa asili ni wachache sana wengi wanakuwa vibonge kwa kupenda kula sana.
Kuna unene wa asili hua ni genetic disorder ila 95% ya mabonge ni kupenda kula.

Jamaa alikua anaitwa kwenye redio anajisifia kupenda kula wali maharage na anaona sifa eti anamaliza sahani 2 ama 3 za wali maharage.

Sasa hivi hatakiwi kulalamika, akubaliane na hali. Mke tutamsaidia kumtomba. Tutamzalia watoto atulelee. Anafikiri misosi ina masihara 😂
 
Miaka 3 ana 4 huko nyuma msechu alikua anajisifia kwamba anamaliza sahani 3 za wali maharage peke yake na anapenda sana kula na asizuiwe kula.

Leo anasema hata asipokula hapungui.

Aliona sifa kula. Sasa acha yampate.
Kama asipokula hapungui anaweka puto lanini? Maana lengo la puto ni kukufanya usile sana hatimaye kupungua.
 
Sio Kila Mtu anafaa kuwekewa Puto. Puto inategemea na BMI. Madaktari Tanzania Ndio Maana Wanaua Wagonjwa. Mtu wa Kg 144 unamuwekeaje Puto? Akipungua Sana Kg 20/16. Hii Publicity itakuja Kumcost…. Uzuri Jamii Forum Ipo.

Tukutane Mwakani Tarehe kama Ya Leo.

PM alifaa kufanyiwa Bariatric Surgery. Ambapo angebaki na Kg 72 which Ni Sawa kwake.

Nashangaa Serikali Kuacha Kuendelea kuenea kwa Matangazo ya Balloon wakati madhara yake ni Makubwa. Ballon Inafaa kwa Mtu chini ya Kg 90 sio zaidi ya 100

Mwisho. Kupungua unahitaji ku change life style Completely. Hata Kufanyiwa Bariatric Surgery, Kifupi ni Kumaanisha Unabadirisha Mfumo wa Maisha kuanzia kuacha pombe, namna ya kula na kila kitu ndio maana Psychologist huhusika, Psychiatrics huhusika, Dietician huhusika, Daktari wa Mazoezi, Endocrinologist, General Surgeon na Wengine.

Fuatilia Duniani, Madaktari nguli wamekataa matumizi ya Balloon.
 
Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.

Nashangaa sahivi kapata reward za kupenda kula analalamika tena😂.

Tusijidanganye wanene wa asili ni wachache sana wengi wanakuwa vibonge kwa kupenda kula sana.
Nilikuacha Galanos we dogo. Nilipiga CBA pale kwa msocha nyie mlikuwa nyuma yetu.
 
Msechu na Lissu wamefanana wenyewe, kama mtu na mdogo wake.
Kuna ndugu yetu aliwekewa puto akapungua, mkewe mzungu hakupenda alivyoongezeka baada ya ndoa. Sijui ikawaje tena alikuja kunenepa akawa puto halisi.
Alikuja kunenepa akawa puto halisi. Nimecheka sn.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom