Peter Msechu afanyiwa matibabu ya kuwekewa puto tumboni

Miaka 3 ana 4 huko nyuma msechu alikua anajisifia kwamba anamaliza sahani 3 za wali maharage peke yake na anapenda sana kula na asizuiwe kula.

Leo anasema hata asipokula hapungui.

Aliona sifa kula. Sasa acha yampate.
Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.

Nashangaa sahivi kapata reward za kupenda kula analalamika tena😂.

Tusijidanganye wanene wa asili ni wachache sana wengi wanakuwa vibonge kwa kupenda kula sana.
 
Mkuu huyu jamaa mimi nimesoma nae Advance Tanga alikuwa na mwili wa kawaida kabisa sifa yake kuu alipenda kula. Yani siku ya wali alikuwa na anakuja na kisado kile cha kopo la rangi.

Nashangaa sahivi kapata reward za kupenda kula analalamika tena[emoji23].

Tusijidanganye wanene wa asili ni wachache sana wengi wanakuwa vibonge kwa kupenda kula sana.

Kuna watu kiasili wameumbwa na muonekano wa miguvu na misuli hao wapo lakini asili ya kitambi haipo, na ndio maana ukiwa na discipline kwenye ulaji utakua na mwili wa wastani tu lakini sio kumiliki vitambi vikubwa hapana
 
Nimesoma Comments zote Ila sijaona anaeuliza au kuelezea Hilo puto linakaaje na litafanyaje kazi na kumsaidiaje?

Mtueleweshe basi wa tabuelimu.
Hilo puto linaingizwa likiwa tupu kupitia njia ya chakula linapelekwa Hadi tumbo la chakula, likifika huko linajazwa upepo, kwa hiyo kasehemu ka chakula kanabaki kadogo, sehemu kubwa unakuwa umechukuliwa na Hilo puto. Kwa hivyo mhusika anakuwa akila tu kiduchu anajiona kavimbiwa. So automatically mtu atapungua.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Kumbe siri ya kupungua ni kula kidogo...hivi huwez kujicontrol mwenyewe bila hilo puto?

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom