Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.
Pengine kaandikiwaNajua hiyo ni kiki hakuna bifu, ila hatahvyo mwanaume wa kawaida huwezi kuandika maneno ya namna hiyo. Hata wanaume wa Dar hawana ukike wa namna hiyo
Watu wa pwani hao Tanga,DSM,UNGUJA na PEMBA!Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.
Kifuu tundu mp3 downloadNi nani huyu AT
Na kama kakubali kuandikiwa maneno hayo kwenye account yake basi ana matatizo makubwa sanaPengine kaandikiwa
Mimi mwenyewe nilitaka kuuliza hili ,Wanaume wa Daslam kazi kweli kweli
Huyo shombo anaiweza, si ushasikia hata nyimbo zakembona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Hahaha mimi sibishani huwa na mwanaume anayeongea kama mwanamke ,kwetu ni mwiko mwanaume kubishana na mwanamkeAisee...tumewavumilia na sasa tumeanza kuishiwa uvumilivu.
Mnatusema sana sie Wanaume tunaoishi dar...msifikiri tuna uvumilivu kama wa Laigwan, tutaanza kujibu mashambulizi msikimbie. alah!
Ngoma mpya iko njiani. Wabongo bhanaπππNajua hiyo ni kiki hakuna bifu, ila hatahvyo mwanaume wa kawaida huwezi kuandika maneno ya namna hiyo. Hata wanaume wa Dar hawana ukike wa namna hiyo
Mkuu umewaza kama mimi, kuna maneno ambayo rijali huez yatamkaHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?