Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Sio kwa mtindo wa kumuita mwanaume mwenzio 'babu' maana hapa napata picha ingekuwa wanajibizana ana kwa ana na vidole pia vingekuwa juu ama mikono kiunoni kama watoto wa kike. Huu si uzenji tena bali walakini wa kijinsia.
Watu wa pwani hao Tanga,DSM,UNGUJA na PEMBA!
wana maneno balaa!
Ila hyo vidole juu asili yake maana anaimba mduara
afanye atubu kama mzee yusuph!
 
nyinyi acheni kabisa...hayo ndo ya pwani....si mwanaume wala mwanamke wala mtoto..woote!watu wa zanzbar,tanga,pwani,mpkmombasa huko ndo walivyo..hasa akiwa shabiki wa taarab utajuta.
 
Aisee...tumewavumilia na sasa tumeanza kuishiwa uvumilivu.
Mnatusema sana sie Wanaume tunaoishi dar...msifikiri tuna uvumilivu kama wa Laigwan, tutaanza kujibu mashambulizi msikimbie. alah!
Hahaha mimi sibishani huwa na mwanaume anayeongea kama mwanamke ,kwetu ni mwiko mwanaume kubishana na mwanamke

Aslaam Alyekum Sheikh
 
Najua hiyo ni kiki hakuna bifu, ila hatahvyo mwanaume wa kawaida huwezi kuandika maneno ya namna hiyo. Hata wanaume wa Dar hawana ukike wa namna hiyo
Ngoma mpya iko njiani. Wabongo bhana😀😀😀
 
Back
Top Bottom