souljah meditater
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,146
- 2,098
Huyo AT naye anazingua inakuaje mtoto wa kiume unakuwa na maneno ya shombo kama demu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha,[emoji2] hata mie kama sielewi vile.Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Hawa ni Wanaume wa dar hawa. Si wa mkoaBasi kazi IPO.
Jamani hivi AT hawazibui chamber kweli?
Nauliza tu kwa nia njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
Wewe MZARAMO hata usiongee kwasababu nyie ndio waasisi wa kuchambana wote wanaume kwa wanawake mpaka watoto.Wanaume wa mikoani mnaona wakuja wenzenu wanavyowatia aibu huku mjini?!
Bro! Zile zina ugumu fulani bhna.Hivi zile rap battles za akina Nas na Jay Z au Biggie na Tupac zina tofauti gani na kuchambana?
Au kwa vile zile ziko kwa Kiingereza?
Kwani Msechu kamsema AT kwenye wimbo upi?mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Mi mwenyew najiuliza hivyo hivyoHold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?
You took the words right out of my mouth. Duh!Hold on! Haya maneno yameandikwa na mtoto wa kiume!?