Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Wakiwasema wanaume wa dar hapo mtalalamika
kwa hayo maneno makali hata mwanamke hawezi
yasema.
 
Hivi zile rap battles za akina Nas na Jay Z au Biggie na Tupac zina tofauti gani na kuchambana?

Au kwa vile zile ziko kwa Kiingereza?
Bro! Zile zina ugumu fulani bhna.
Siamini ether inachambo hizi za pyuuuuu
 
Back
Top Bottom