Na hapo ndio kamstahi kweli kweli, maana wana midomo michafu hao balaa. Matusi kwa lafudhi lainiii[emoji23]Hehehehe wanaume wa zanzibar ni noma sana
Taarabu na mduara ni mtu na mdogo wakoMzaramo huyuu cjui.kwa nini haimbi taarabu
Hili neno pyuuuuuu huwa an alitumia sana James delicious kwenye page yake ya Instagram huwa sijui maana yakeKwenye red.
Hapa ndo unapobaini tofauti ya mwanaume na mtoto wa kiume. Ovyo sana mwanaume kufyatukwa na neno kama hili.
Kweli kiasi fulani wanafananaHivi Peter Msechu ana undugu na TUndu Lissu?😡
Le mutuz juzi alikuwa anahojiwa nikicheka sana aliyokuwa anajiproudNamshauri Le Mutuz amkodishe huyu jamaa amsaidie kumchamba Mange Kimambi
Ila Rap mi sehemu ya sanaa. IHahaaa....basi itakuwa hufuatilii vizuri yajiriyo kwenye social media Marekani.
Licha ya medium itumikayo, kuchamba ni kuchamba tu....rap disses nazo ni uchambaji tu.
Lakini kwa ulimbukeni tulionao Wabongo....hizo rap disses tunaweza kuzipa pass lakini mambo yetu ya Kiswahili tukayakomalia koo.
Ndivyo tulivyo.
Ushawahi sikiliza nyimbo zake na unajua aina ya muziki anaoimba,yeye kuwa na maneno ya shombo ni sawa na. Kondakta kuwa na chenchi si jambo la kushangaza.Kuna kipindi offside trick walitoa nyimbo wakamshirikisha na baby jay ya kumdiss jumla kama watu wa nne hivi.yeye akawajibu peke yake wakafyata mkia wotembona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Ni Mwanaume, ila kwa wale Wenzetu wa kule linapokuja swala la kuchamba Mtu huwezi kutofautisha Khadija Kopa ni yupi au AT ni yupi.Tuacheni utani bhana, mimi sina ninaefahamu ila huyu mwandishi ni kweli ni mwanaume? Nauliza very serious sio joke
Duh basi hatuna vijanaNi Mwanaume, ila kwa wale Wenzetu wa kule linapokuja swala la kuchamba Mtu huwezi kutofautisha Khadija Kopa ni yupi au AT ni yupi.
Kaandika mwenyewe huyoPengine kaandikiwa
Angalia sikiliza nyimbo zakeHuyo AT naye anazingua inakuaje mtoto wa kiume unakuwa na maneno ya shombo kama demu
Na hapo ndio kamstahi kweli kweli, maana wana midomo michafu hao balaa. Matusi kwa lafudhi lainiii[emoji23]
Kwa mzanzibari hiii ni chai tuuuu!mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Ntazitafuta[emoji23] [emoji23]Angalia sikiliza nyimbo zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntazitafuta[emoji23] [emoji23]
Maneno hayo ni kama yametoka "mbavuni" mwetu!Kwa huu uandishi, nna wasiwasi kama AT ni ridh'ki huyu...