Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Peter Msechu aingia 18 za AT, Achambwa mpaka huruma...

Hawa nahisi wanatufanyia Kama v money na shishi bby
 
Kwenye red.
Hapa ndo unapobaini tofauti ya mwanaume na mtoto wa kiume. Ovyo sana mwanaume kufyatukwa na neno kama hili.
Hili neno pyuuuuuu huwa an alitumia sana James delicious kwenye page yake ya Instagram huwa sijui maana yake
 
Tuacheni utani bhana, mimi sina ninaefahamu ila huyu mwandishi ni kweli ni mwanaume? Nauliza very serious sio joke
 
Hahaaa....basi itakuwa hufuatilii vizuri yajiriyo kwenye social media Marekani.

Licha ya medium itumikayo, kuchamba ni kuchamba tu....rap disses nazo ni uchambaji tu.

Lakini kwa ulimbukeni tulionao Wabongo....hizo rap disses tunaweza kuzipa pass lakini mambo yetu ya Kiswahili tukayakomalia koo.

Ndivyo tulivyo.
Ila Rap mi sehemu ya sanaa. I
 
mbona AT ana maneno ya shombo utadhani anaishi Tandale
Ushawahi sikiliza nyimbo zake na unajua aina ya muziki anaoimba,yeye kuwa na maneno ya shombo ni sawa na. Kondakta kuwa na chenchi si jambo la kushangaza.Kuna kipindi offside trick walitoa nyimbo wakamshirikisha na baby jay ya kumdiss jumla kama watu wa nne hivi.yeye akawajibu peke yake wakafyata mkia wote
 
Tuacheni utani bhana, mimi sina ninaefahamu ila huyu mwandishi ni kweli ni mwanaume? Nauliza very serious sio joke
Ni Mwanaume, ila kwa wale Wenzetu wa kule linapokuja swala la kuchamba Mtu huwezi kutofautisha Khadija Kopa ni yupi au AT ni yupi.
 
Back
Top Bottom