Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Mkuu usiwastue waache tu
 
Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania
Natural clown!
 
Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania
Pamoja sana Msigwa

Jr[emoji769]
 
Inaonyesha namna gani kwenye chama cha Chadema, demokrasia ilivyokomaa........

Kule kwenye chama cha kijani, ukisikika tu una mpango wa kuchukua fomu na kutaka kumpinga Jiwe, unafukuzwa toka kwenye Chama!
 
Ni kweli atajiotoa , lakini hatamuunga mkono lissu, bali ama ataunga juhudi au atajiunga na NCCR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati yuko segerea wanafamilia wa Msigwa walienda kwa mwnafamilia mwenzao mh rais Magufuli kumuomba msaada wa kulipa faini na wakapewa sh 38ml.
Hawezi kumpinga mzazi mwenzake lazima Msigwa ataunga juhudi tu kwa mazingira yalivyo hasa baada ya kifo Cha mahiga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…