Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada haudaiwi bwasheeKadaini hela yenu,
Chama kama Chama tulichanga tukamlipia pia.
Mkuu usiwastue waache tuNi haki yake ila mwisho wa siku atakuja kujitoa na kusema anamuunga mkono Lissu.Hata Nyalandu nae atakuja kujitoa na kumuachia Lissu hiyo nafasi.Huu ni mkakati wa kisiasa wa kumpa Lissu nguvu zaidi katika uchaguzi huu japo hatuna Tume Huru.
Kama anataka kutafuta sababu ya kuondoka CHADEMA kupitia mchakato wa uteuzi, muda utasema.
Mkuu, nani alijua kuwa Makonda zero brain atakuwa makamu wa rais?Mchungaji Msigwa huyu huyu muuza mitumba wa Miyomboni?
Acha kukurupukaHuyu Msigwa aliemzushia Kinana?,kisha kuomba radhi baada ya miaka saba?
Hahahaaaa....... Makonda alikuwa Rais wa marais wote wa vyuo vya elimu ya juu ikiwemo Daruso ya akina Heche!Mkuu, nani alijua kuwa Makonda zero brain atakuwa makamu wa rais?
Kesho ya mtu haiathiriwe na jana yake.
Daudi alikuwa mchunga mbuzi...akawa Mfalme.
Sent using Jamii Forums mobile app
IQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.
Natural clown!Mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania
NI WEWE WASEMA!Leo Peter Msigwa amekuwa kiumbe asieaminika?!
Maisha yanaenda kasi sana.
Unafikiri CCM hawana IQ kubwa ila ukiingia kule ubongo unaacha njeIQ ya Msigwa ni zaidi ya Wabunge na Viongozi wengi tu wa CCM.
Kinana nae kaomba msamaha lkn au hujasikia hilo?Ni .kweli kwa kuwa ni fundi wa uongo, kisha anakimbia msala kwa kuomba radhi.
Pamoja sana MsigwaMbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa Mheshimiwa Mchungaji Peter Msigwa leo amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania
Msigw mmoja.ni sawa na Ndungai 700Wagombea wa Chadema ni full mizaha!
Wakati yuko segerea wanafamilia wa Msigwa walienda kwa mwnafamilia mwenzao mh rais Magufuli kumuomba msaada wa kulipa faini na wakapewa sh 38ml.Ni kweli atajiotoa , lakini hatamuunga mkono lissu, bali ama ataunga juhudi au atajiunga na NCCR.
Sent using Jamii Forums mobile app