Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Unaweza kufilisika na utajiri ukarudi, lakini huwezi kuwa chuma, ukawa feki, alafu utake kuwa chuma tena. Mfuko una restart by, utu hauna Undo.

Alishauza utu wake kuzunguka na mabangu ya samia, angepata alichofata sisime asubgerudi uku. Huyu si mtu.
 
Uko sawa Selasini kurudi chadema ni tatizo
 
Yaani msigwa(msaliti) aje kupambana na lissu(shujaa)

Hayo yatakua maajabu.
 
SACRILEGO
 
Pastor sijui alipatwa na nini?
Nilishangaa sana mie hapa!
Miye nikasema mbona hakuondoka kipindi cha Magu pastor jamani. Alileta uzushi sana.
Kuwa ccm unatakiwa uwe mnafiki wa hali ya juu sana.
Umemsikia PM huko iringa anavyojikaanga tuu km pweza.
 

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Kafanya jambo sahihi. Jambo hilo ni kujitoa CCM.

Mtu yeyote mwenye dhamiri iliyo safi na mwenye maadili, hawezi kubakia CCM baada ya Oktoba 29.

Mimi mwenyewe watu wote ambao wako kwenye circle yangu ambao bado wanamuunga mkono Samia au wanaoiunga mkono CCM, nimewaengua na kuwafunga vioo milele daima.

Sitaki kabisa mahusiano nao.

Hongera Msigwa!
 
Hahaha
 
Kuna mtu kule X anajiita Nyani Ngabu, ni bootlicker wa mama Samia, hakuna mfanowe.
 
Chama cha siasa sio sawa na timu ya mpira uwanjani kwamba hawaiingii zaidi ya wachezaji 11. Chama kinahitaji kuungwa mkono na watu wengi kadri inavyowezekana. In fakti hata Samia akitaka kujiunga na Chadema mimi nitafanya kazi ya kumpatia kadi yake asap
 
Warudi tu ili mradi wanabaki kuwa wanachama wa kawaida, mbona Lowasa alirudi ccm na sisi wa kwenu kubalini warudi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…