Pre GE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Pre GE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio baada ya kushindwa uchaguzi?

Na Angeshinda je?
😅😅😅
Peter Msigwa nimemlaani kwa Jina la Bwana Mungu wa Israeli jambo baya litampata kwa dhihaka anayofanya.

Sisi watu wa Mungu tulimwamini akatangulia mbele ktk mapambabo ameamua kukejeli kazi ya Mungu?

Natamka kwa jina la Mungu, Mungu wa Yakobo. Msigwa Mungu atashughulika na wewe very soon
Lowasa peoples.....
 
Kinachonishangaza Ni kwamba kipindi chote Msigwa Ni mbunge Mambo hayo alikua hayaoni amekuja kuyaona baafa ya kushindwa kwenye uchaguzi na Sugu.
Msigwa aseme njaa yake, aachane na Chadema.
 
Kinachonishangaza Ni kwamba kipindi chote Msigwa Ni mbunge Mambo hayo alikua hayaoni amekuja kuyaona baafa ya kushindwa kwenye uchaguzi na Sugu.
Msigwa aseme njaa yake, aachane na Chadema.
Wiki mbili zilizopoita alikuwa Singida akipigania Chadema
Mwezi mmoja uliopita alikuwa anagombea uenyekiti akijua ni sehemu 'isiyofaa''!!
Hivi angechaguliwa uenyekiti wa kanda, angweza kuyasema anayoyasema leo

Huyu ni Mchungaji! nadhani anajivua nguo tu.

Nimemshauri Msigwa aeleze sera nzuri za CCM. Kuwasema Chadema ambao uli[okuwa mjumbe wa Kamati kuu kwa miaka mingi, mwenyekiti wa kanda n.k. ni kujidhalilisha.

Yaani kura 3 kati yako na Sugu ndizo zimekufanya uone yote unayoyasema.
Msigwa stop this madness, unadhalilika . Huna umasikini wa kujidhalilisha namna hiyo

Ipo siku utaangalia nyuma na nafsi yako itakusuta na kuona haya na hao wanaokutumia hawatakujua

Jali heshima yako kwa jamii, njaa ina dhalili. Utateuliwa lakini heshimaunaijenga na kuibomoa mwenyewe.

Hakuna cheo mbadala na heshima yako kama Mume wa mtu, Baba wa watu, Mchungaji na mwanasiasa.
 
Nafikiri wa kudhibitiwa ni yeye Msigwa anayeropoka kama mwehu kila siku tu. Ni vema sasa angejikita kwenye kuonyesha umahiri wake wa kuchambua masuala mbalimbali yanayowatatiza wananchi ili asaidie chama chake kiwapatie solutions wananchi kuliko hii umnea anaoongea kila siku majukwaani baba mzima mwenye mke na watoto. Mjinga sana
 
kama imepangwa gen z iingie tanzagiza itaingia na kukinukisha na hakuna wa kuzuia, haya mambo yako globally coordinated, salama yenu tu tanzagiza isiwemo kwenye huo mpango vinginenvyo mtadhalilishwa na kuachwa uchi sana, usisahauu panya road tu watoto wa miaka 12 walisimamisha mji wote wa dar ije kuwa globally coordinated gen z ?
Watu wenyewe wepeseeesiiiiii kama genge la waporaji!
 
Fara sana,aise kumbe alikuwa mjinga kitambo sana,hoja zake hazina mashiko yoyote ni pumba tu.
Huyo njaa tu, hao ni watu waliozowea kukaa Yanga nje pale kungomba omba na walikuwa wakiwekwa milangoni siku za mechi kuiba pesa za kiingilio, Hersi amekata hayo, sasa njaa kali.

Hana lolote huyo anatumika kijinga kwa thamani ndogo tu.
 
Msigwa anajazwa upepo aropoke sana halafu baadaye wanamuua ili waisingizie Chadema kuwa wamemua kwa vile anawaumbua. Ndugu zake wamtahadharishe CCM ni mashetani kabisa .
 
Poleni sanaa! Kwa maana JEMBE hili, limetafutwa na CCM kwa zaidi ya miaka 10. Kikwete alimkosa, Magufuli alimkosa lakini kwa mama kaingia King!
Acheni tu, mama ni mwanasiasa aliyekomaa. Na sasa Mchungaji ndani ya kijani anaivua chadema nguo zote.
Hivi mtapitia wapi CHADEMA.

Tatizo lako ni kufikiri kila anayecomment hapa ni MwanaCCM au ni mwana CDM .... that is wrong mind set.

Sawa CCM wanaweza wakawa wamemfuatilia siku nyingi ... may be wana sababu zao. Lakini kumuita ni jembe, Hell No. Huyo ahutubie tu huko kwao Iringa ..... kwingine hawamjui kama anaexist. Akienda Mbeya huko hataweza kupambana na nguvu ya SUGU, akienda Kaskazini kuna akina Lema, Kati Makamu Mwenyekiti, Ziwa kuna akina Wenje na Heche .... Wote hao wana majina kuliko yeye ..... that's the fact and you know it.
 
Tatizo lako ni kufikiri kila anayecomment hapa ni MwanaCCM au ni mwana CDM .... that is wrong mind set.

Sawa CCM wanaweza wakawa wamemfuatilia siku nyingi ... may be wana sababu zao. Lakini kumuita ni jembe, Hell No. Huyo ahutubie tu huko kwao Iringa ..... kwingine hawamjui kama anaexist. Akienda Mbeya huko hataweza kupambana na nguvu ya SUGU .... that's the fact and you know it.
😂😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C9mLHisKGrc/?igsh=ZnN2Y2pwdTh4Mmpv
 
Huwa nawashangaa sana wale mnaotaka wanao hama chadema wasikisema vibaya,bali wasema mazuri ya ccm

Ni hivi ccm ina watu wanao kisemea vizur,kwahiyo hawahitaji watu kutoka chadema wakisemee ccm,,wanahitajika watu wa chadema waseme udhaifu na mapungufu ya chama kama bakora ya kuwachapia

Na kiukweli kabisa wanawanyoosha vizur sana tena sana,,upinzani ndio kwaher tena ni swala la mda tu,,kiundwe chama kingine mbadala wa chadema

Kuna mdau mmoja hapo alisema sijui wasisahau mema waliyofanyiwa la sivyo karma itawaadabisha,,hakuna kitu kama hicho kwenye siasa,,kwasababu siasa ni uwongo mwingi na janja janja nyingi,,hapo karma inakaa pembeni,,karma inadili na haki,,kwenye siasa hakuna haki,period.
 
Back
Top Bottom