Peter Msigwa Hastahili kuwepo CHADEMA

Bo
Una laana wewe, Mbowe ana degree tena kasoma Uingereza ambako ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika, anakutana na mabolozi wakubwa duniani wewe hujawahi hata kukutana na DAS.
Bosi ,acha kuhamaki tuletee hicho chuo alichosaoma mzee mbowe kuonyesha mwaka alisoma na muda wa course husika Mangi .Degree mangumashi ziko nyingi tu haswa hivyo vyuo vya nje,umeshasahau kuwa hata mzee mrema alikuwa na aina ya hizi degree?
 
Kwa kigezo cha anaokutana nao hapo tu umeshafeli aisee
 
Bo

Bosi ,acha kuhamaki tuletee hicho chuo alichosaoma mzee mbowe kuonyesha mwaka alisoma na muda wa course husika Mangi .Degree mangumashi ziko nyingi tu haswa hivyo vyuo vya nje,umeshasahau kuwa hata mzee mrema alikuwa na aina ya hizi degree?
Kwamba degree ya Tanzania ni bora kuliko ya Uingereza? mafakinio ya Mbowe ukoo wako wote hamtakaa myafikie, tuache wivu wa kijinga, Mbowe yupo kwenye level ya juu kama binadamu ana madhaifu yake
 
Acha upoyo mangi ,hivi mzee mbowe ambae ndio kamalizia mjengo wake juzi kule kijijini ndio unaetaka kutaminisha kuwa hatuwezi kumfikia? Mzee mbowe kahama nyimbani kwa baba baada ya kufika umri wa zaidi ya miaka sitini ,leo mko hapa mbasifia eti ni tajiri πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Kwamba degree ya Tanzania ni bora kuliko ya Uingereza? mafakinio ya Mbowe ukoo wako wote hamtakaa myafikie, tuache wivu wa kijinga, Mbowe yupo kwenye level ya juu kama binadamu ana madhaifu yake
Acha kupiga makelele hapo ,umesema mzee mbowe anayo degree,kuna ubaya gani ukitambia alisoma kuanzia mwaka gani na jina la chuo husika ?
 
Hilo hata wewe unakiri kuwa jamaa ni tajiri, wewe sidhani hata kama una kiwanja, haya ibadilishe hiyo masters yako kuwa ghorofa kama la Mbowe tuone
 
Wazuri hawafi katibiwe tezi dime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…