- Thread starter
- #41
Bo
Bosi ,acha kuhamaki tuletee hicho chuo alichosaoma mzee mbowe kuonyesha mwaka alisoma na muda wa course husika Mangi .Degree mangumashi ziko nyingi tu haswa hivyo vyuo vya nje,umeshasahau kuwa hata mzee mrema alikuwa na aina ya hizi degree?Una laana wewe, Mbowe ana degree tena kasoma Uingereza ambako ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kufika, anakutana na mabolozi wakubwa duniani wewe hujawahi hata kukutana na DAS.