Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
ShashamanASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! ππ
Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi.
Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! π₯β½
============
Yanga SC imemtambulisha rasmi straika wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kuelekea msimu wa 2026/27.
Shalulile anajiunga na Yanga akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, ambako ameandika historia kama mmoja wa washambuliaji bora kuwahi kucheza katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Katika kipindi chake cha miaka sita akiwa Sundowns, alicheza mechi 172 katika mashindano yote na kufunga mabao 92, huku akichangia timu hiyo kutwaa mataji mengi ya ndani na ya kimataifa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alitwaa tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu wa 2019/20, kabla ya kuendelea kung'ara akiwa Mamelodi Sundowns kwa kutwaa mataji matano ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Kombe la Ligi ya Afrika (AFL) na Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
Mwakani tenaASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! ππ

inawezekana .GSM hana uwezo wa kumleta Shalulile bongo. Ikitokea nahamia Yanga siku hiyo hiyo. GSM level zake ni akina Chuga.
Unamaanisha nini classmate?SHALULILE KAZALIWA 1982 AKILI KICHWANI MWAKOπππππΈπΈπΈπΈ
Kwani huo uzi aliouvaa ndo jezi mpya za Yanga au imekuwaje hapo kwenu wananchiASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! ππ
Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi.
Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! π₯β½
============
Yanga SC imemtambulisha rasmi straika wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kuelekea msimu wa 2026/27.
Shalulile anajiunga na Yanga akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, ambako ameandika historia kama mmoja wa washambuliaji bora kuwahi kucheza katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Katika kipindi chake cha miaka sita akiwa Sundowns, alicheza mechi 172 katika mashindano yote na kufunga mabao 92, huku akichangia timu hiyo kutwaa mataji mengi ya ndani na ya kimataifa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alitwaa tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu wa 2019/20, kabla ya kuendelea kung'ara akiwa Mamelodi Sundowns kwa kutwaa mataji matano ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Kombe la Ligi ya Afrika (AFL) na Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
chama kazaliwa lini?SHALULILE KAZALIWA 1982 AKILI KICHWANI MWAKOπππππΈπΈπΈπΈ