PETER SHALULILE rasmi ni mwananchi Yanga. Asante GSM kwa kuendelea kuonyesha upendo

Watanzania ndivyo walivyo, watamsifia wee wakati hana lolote kwani ameshaisha na kuzeeka vilevile ndio maana hata huko Mamelodi akatemwa.

Wanaoweka matumaini makubwa kwa huyo mnamibia watakuja kujuta kwani hana maajabu yoyote aliyonayo.

Mchezaji yeyote mzuri hawezi kuja kucheza mpira Tanzania, hilo nalikataa ni vikaragosi tu ndivyo vinavyokuja hapa.

It's the time that perfects everything so time will tell in not so distant future.
 
Kipindi kile akiwa kwenye form, kweli Shalullile alikuwa Shalullile kweli. Lakini kwa Sasa ashakuwa Joka la Kibisa! Ahahahahaha!!
 
Wekeni akiba ya maneno ili msije mkaumbuka siku zijazo.
 
Watanzania ndivyo walivyo, watamsifia wee wakati hana lolote kwani ameshaisha na kuzeeka vilevile ndio maana hata huko Mamelodi akatemwa.

Wanaoweka matumaini makubwa kwa huyo mnamibia watakuja kujuta kwani hana maajabu yoyote aliyonayo.

Mchezaji yeyote mzuri hawezi kuja kucheza mpira Tanzania, hilo nalikataa ni vikaragosi tu ndivyo vinavyokuja hapa.

It's the time that perfects everything so time will tell in not so distant future.
Hivyo hivyo vikaragosi ndiyo wanaocheza hapa na wanatoa kiwango bora. Aucho alikuwa kikaragosi, Chama alikuwa kikaragosi, Azizi kii alikuwa kikaragosi, Luiz Nickson kijana wa Simba yule alikuwa kikaragosi, Al Ahly wakamuona. Yule dogo wa Simba Sako sijui kaenda Ufaransa, naye pia alikuwa kikaragosi. Ila wote hao walikuja wakaonyesha kiwango hora.

Messi mwenyewe amezeeka ila akaenda US bado akaonyesha kiwango bora.
 
Shalulile kasajili timu huko Kuwait na sio yanga,Hersi asilewe sifa akatuletea wachezaji wabovu kama msimu jana
 
Hivyo hivyo vikaragosi ndiyo wanaocheza hapa na wanatoa kiwango bora. Aucho alikuwa kikaragosi, Chama alikuwa kikaragosi, Azizi kii alikuwa kikaragosi, Luiz Nickson kijana wa Simba yule alikuwa kikaragosi, Al Ahly wakamuona. Yule dogo wa Simba Sako sijui kaenda Ufaransa, naye pia alikuwa kikaragosi. Ila wote hao walikuja wakaonyesha kiwango hora.

Messi mwenyewe amezeeka ila akaenda US bado akaonyesha kiwango bora.
Huyo keshaisha ni ushabiki maandazi tu unawasumbua.
 
Shalulile keshapitwa na wakati; hakuweza kuifunga Yanga wakati akiwa na Mamelodi, je ataweza kuifunga Mamelodi akiwa na Yanga?
Je hao Mamelod watacheza kama alivyocheza Yanga? Mpiraa hauchezwi na mtu mmoja bali ni timu nzima ikiongozwa na mbinu na ufundi
 
Back
Top Bottom