Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Umri ni namba tu🙂🙂SHALULILE KAZALIWA 1982 AKILI KICHWANI MWAKO😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸
Umeshahamia bro?GSM hana uwezo wa kumleta Shalulile bongo. Ikitokea nahamia Yanga siku hiyo hiyo. GSM level zake ni akina Chuga.
Weka chanzo cha taarifaSHALULILE KAZALIWA 1982 AKILI KICHWANI MWAKO😂😂😂😂🐸🐸🐸🐸
nkimcheki veteran Mayele anavyokiwasha ligi ya. mabingwa, nkichungulia uhaba wa wafungaji afrika, nkiwaangalia waarabu mfano Al Ahly walivyojaza wahenga na wanavyosumbua ligi ya mabingwa, nikirudi kwa chama langu Chelsea kumtaka Welbeck!ASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! 💚💛
Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi.
Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! 🔥⚽
============
Yanga SC imemtambulisha rasmi straika wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kuelekea msimu wa 2026/27.
Shalulile anajiunga na Yanga akitokea klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, ambako ameandika historia kama mmoja wa washambuliaji bora kuwahi kucheza katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Katika kipindi chake cha miaka sita akiwa Sundowns, alicheza mechi 172 katika mashindano yote na kufunga mabao 92, huku akichangia timu hiyo kutwaa mataji mengi ya ndani na ya kimataifa.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 alitwaa tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini msimu wa 2019/20, kabla ya kuendelea kung'ara akiwa Mamelodi Sundowns kwa kutwaa mataji matano ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL), Kombe la Ligi ya Afrika (AFL) na Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)
Bush lawyer kwenye moja na mbili. Kwa akili hizi usingemsajili Jamie Vardy, Mo Salah, Pirlo..Maisha haya,alikotoka hakupewa nafasi kwenye mechi muhimu za kimataifa msimu uliopita halafu waliomsajili sasa hivi wanaamini atawasaidia kwenye mechi hizo.😀
Hapo imesajiliwa historia zaidi.
Amka utajinyeaChai.
NimeshaamkaAmka utajinyea
Nisingemsajili? Hueleweki,uliowataja walisajiliwa wakiwa wazee walio-flop kwenye team zao kwa lengo la kusaidia kimataifa?Bush lawyer kwenye moja na mbili. Kwa akili hizi usingemsajili Jamie Vardy, Mo Salah, Pirlo..
Mpira wa miguu haukufai.Shalulile keshapitwa na wakati; hakuweza kuifunga Yanga wakati akiwa na Mamelodi, je ataweza kuifunga Mamelodi akiwa na Yanga?
wale watoto wa Azania sekondari walikuwa wanamuongelea Shalulile sasa watamuona Lupaso livePeter ana uwezo wa kufunga ataisaidia Yanga huko Klabu Bingwa jamaa anapambana kweli kama ni kweli ni jambo jema aje awavushe makundi hata hivyo mwaka huu Al Ahly anaepangwa kundi moja kashuka chini huko..
Anza kutoka sasa, acha uoga.Hapa viongozi wamebugi.
Nitafafanua wanayanga wakianza kumlalamikia.
Unaweza kuwa na hoja, ila mpira unabadilika,Shalulile keshapitwa na wakati; hakuweza kuifunga Yanga wakati akiwa na Mamelodi, je ataweza kuifunga Mamelodi akiwa na Yanga?
Ulidhani GSM ni Mwamedi?Chai.