Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

Sikujua kama plate number ilibadilishwa halafu wamefeli na kibano kimebadilika, kama walikuwa wana nia njema kwanini wabadilishe plate numbee
[emoji26][emoji26][emoji26]
 
Ogopeni sana kutawaliwa na jitu fukara kutoka familia maskini......mtapata taabu sana!!!
Jitu lenyewe halina akili yoyote hata ya kuuza bamia au bamia....hivyo kila kaiona mtu amefanya biashara zake amefanikiwa yeye anaona KAPIGA DILI....!!!Ni Shidaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kwa nn hatafutwi na kusumbuliwa au kubanwa alieuza badala yake wanakomaa na alienunua. Kama alieuza ni serikali yenyew kwa nin sasa wamemgeuka wakati mauziano hutokana na makubaliano. What if kama hzo mali zingekua zimeuzwa kwa alie nje ya nchi. Me naona waliouza ndo wanamakosa
 
Umepanic.

Serikali ndiyo yenye jukumu la kurudisha mali zote za UDA pamoja na nyumba za serikali zilizouzwa kwa bei ya kutupa pia zirejeshwe na wauzaji nao wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi.
kama unalijua hilo mbona ulikua unaruka ruka wakati jacobo na kubenea wanawadanganya
Aliewapa jina la tanapa hakukosea
 
Unakuaje muhujumu uchumi uliyeuziwa kwa kufuata sheria zote zilizowekwa! Labda hao walioidhinisha kuuza mali za umma ndiyo wahujumu! Kwa maana hiyo wa mwanzo kukamatwa na kushtakiwa wawe Rais Mkapa na Magufuli!
Nchi hii ndugu yangu tumekuwa majinga majinga sana!! Utafikri Zakaria alienda kujiuzia mwenyewe!! Mbona akina Gachuma nao walifaidi mali za NCU? Wote warudishe hizo mali walizojiuzia kwa bei ya kutupwa!! Mimi nitamwunga mkono huyu mzee kama atagiza kwamba aliyeuza nyumba za serikali kwa bei chee naye akamatwe kwa uhujumu uchumi. Tangu siku ya agizo hilo mimi nitatangaza hadharani kwamba namwunga mkono!!
 
Mkuu hizo mali za NCU ziliuzwa na bank ambapo wao ncu walikopa pesa za kununulia pamba,mtu kanunua mali kihalali mpka kupewa hati,inakuaje unamuambia arudishe badala ya kumlipa gharama zke?kinachofanyika sio sawa
Zakaria naye anataka kufanya haraka tu, kwa nini asiwatumie wanasheria ndio waongee yeye akae kimya!! Anaogopa kukaa jera? Kwani jera walitengenezewa akina nani?
 
Kama shida ni kununua mali za NCU mbona akina Simon Kisenha wako nje wanapeta na ma UDART tu? Wote wakamatwe na hata waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na wenyewe wakamatwe kwa uhujumu uchumi!!
Wote hao tunawafuata mkuu. Wasikupe tabu hakuna mali ya serikali itakayopotea. Kwali ule msemo wa lazima mali iliyoibwa kuna sehem yakutoke umeusahau
 
Keshaanza kufilisiwa akitoka huko choka mbaya hadi Yale mabasi atayauza tu kwa ajili ya hii kesi
 
Zinarudi serikalini mkuu hizi wala usiwe na wasiwasi
 
Magufuli ni kama kubwa la manyani linalopiga ovyo ovyo bila mpango.

Katika kupiga piga ovyoovyo bila mpango, kila mara 15 linapopiga, halikosi kupatia hata mara moja.
Ukipiga nyani usimuangalie sura....Nyani ni wale waliohujumu uchumi wakachekewa
 
Sasa kama kila kitu hujui sasa unajuaje azirudishwi NCU??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…