Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

Uliona wapi fisadi anaenziwa!
Magufuli ameenziwa kwa kituo cha mabasi ya mkoani cha Mbezi kuitwa kwa jina lake. Kwenye kumbukumbu kuna ifisadi aliouibua CAG kwenye ripoti za 2016-18 upatao Tsh 2.5 Trillion
 
Back
Top Bottom