Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

Sawa ngoja tusubiri.

Ila moshi mweupe ndio huwa unaamua nani awe Papa na sio matakwa ya kibinadamu.
 
Hivi Papa Yohane Paulo wa pili alikuwaga ni wa taifa gani la kuzaliwa yule?
 


Sio rahisi hivyo ukitaka kuelewa taratibu zake na siasa catholic church kumpata ‘pope’ mpya angalia hiyo acclaimed movie ambayo ina awards kadhaa tayari.
 
Roman catholic inashangaza kwa karne ya 20/21 hakujawahi kutokea papa mwenye umri chini ya miaka 50. Huyu papa Francis alichukua mamlaka ya kanisa akiwa na miaka 76 na hadi sasa amehudumu miaka 12.

Je, ina maana huko Katoliki hakuna makadinali walio na umri angalau miaka 50?
 
vp mtazamo wake kuhusu ushoga?
 
walifanya makosa makubwa sana kumleta papa toka amerika kusini. wasirudie tena hilo kosa. walileta papa mvuta bange kabisa kama waamerika kusini walivyo waruwaru. almanusura aanze kufungisha hadi ndoa za mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…