Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

Petro Parolini anaetazamiwa kurithi kiti cha upapa endapo kutatokea nafasi hio kuwa wazi

Kama vile ambavyo huwezi kujua ni nani atafuata baada ya rais samia ndivyo ambavyo huwezi kujua ni nani atafuata baada ya papa francis. Wanapitia mchakato mkali sana hawa hadi kupatikana kwa moshi mweupe.
 
Huwa mnatumia vigezo gani kumuita Papa "Baba Mtakatifu"?
Hata ukiambiwa utauliza kwanini siyo baba yako au mjomba'ako,siyo imani yako nadhani bora zaidi ungedili na ya upande wako kwa sababu wewe mwenyewe hujayamaliza.
 
Huwa mnatumia vigezo gani kumuita Papa "Baba Mtakatifu"?

Unaelewa tofauti na ilivyokusudiwa ndiyo maana unapata shida. Hapo kinachokusudiwa ni nafasi anayoishikilia, ndiyo maana kuna mapapa mpaka leo hawajatangazwa kuwa ni watakatifu. Kwa ufafanuzi zaidi, fuatilia majibu haya kama upo vizuri kwenye English:

Question:​

According to the Bible, only God, Christ, and the Holy Spirit merit the designation "holy." Yet on innumerable occasions Catholics refer to the pope as the "Holy Father."

Answer:​

Only God is holy by his very essence; however, by a person, place, or thing’s association with God, it too can be called holy. To be called holy is to express the idea of consecration, that someone or something belongs to God. That is why the Bible can call many persons, places, and things holy.
In Genesis 28:16, the place God appears is “holy.” In Exodus 19:6, God tells the Israelites through Moses, “and you shall be to me a kingdom of priests and a holy nation.” God’s dwelling place in the Tabernacle is “holy” (Ex 28:43), as is the city of Jerusalem (Is 48:2). Even a goat, the victim of sacrifice to God, is called “holy” in Leviticus 10:17.
After Christ’s death and resurrection the Christians called themselves and each other “holy ones” or “saints,” called by God to be his (Rom 1:7). In 1 Peter 1:16 we read, “it is written, ‘You shall be holy, for I am holy.’”
Since we are his holy people, and his people are the Church, it is fitting that the head of his holy people be called Holy Father—not because of his own merit, but because Christ died for him and for the Church that he leads on earth.
 
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .

Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra, kwa nafasi yetu kama wanadamu tunafanya jitihada ila kudra za mwenyezi Mungu hutoa hitimisho.

Soma Pia: Habari mpya kuhusu Afya ya papa Francs

Nikatika muktadha huo tuapozidi kumuombea nafuu na uponyaji baba yetu huyu wa kiroho ndipo fununu na tetesi na dhana zinapo bainisha iwapo kiti cha uchungaji cha ki papa kitakuwa wazi kadnali Petro parolini ambaye kwa sasa ni karibu mkuu wa vatikani ana dhaniwa kurithi kiti hicho.
View attachment 3248414pamoja na kuwa kiungo mkubwa kati ya vatikani na mataifa pamoja na kanisa ulimwengu, ni mwitalino kwa asili na inakumbukwa kuwa kwa miaka ya hivi karibuni upapa umetoka nje ya Italy hivyo jitihada za kurudisha Italy kwenye mamlaka ya upapa ni mkubwa sana, na safari hii hakuna namna inaweza kushindikana .View attachment 3248417hii yote ni kwa mtazamo wangu, ila mtakubaliana nami parolin anafiti nafasi hii kwa uwezesho wa Mungu na Bwana Yesu na Roho Mtakatifu.
Kwa hiyo MOSHI MWEUPE NI GERESHA?

Ikiwa ishara kuu ni MOSHI MWEUPE unawezaje kuweka mtazamo binafsi au ni voice within ya Pascal Mayalla
 
HIVI LINI ATATOKEA PAPA MWEUSI AU ALISHAWAHI KUWEPO??
 
Hamna kitu hapo..ilikuaje akamshauri papa akubali ushoga kanisani...bora ya cardinal Sarah na rugambwa wa tabora wape mapapa
Kanisa halijawi kukubali ushoga tatizo Pope alikuwa hana subira anapoulizwa maswali tata yeye alikuwa anajijibia tu kwa utashi wake wa kiimani asijue siyo wote wanaojua maana ya upendo kwa wale wanaohisiwa wana dhambi za moja kwa moja.

But nimekuwa surprised unaposema huyu ni mmoja ya waliomshauri kujibu ujinga ujinga mbele ya kadamnasi.
 
Back
Top Bottom