Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

siku hizi pia kuna masters nyingi za voda fasta ambazo walizichukua watumishi wa umma ili waweze kupandishwa vyeo.ndo maana kwa sasa kuna wimbi kubwa la viongozi wa taasisi za umma ambao hawana maadili ya kazi.hizi masters zilipewa majina ya executive course ambapo unajisomea nyumbani halafu unaenda kufanya mtihani.je wewe mtumishi wa umma huo muda wa kujisomea nyumbani utaupata wapi?kwanza ukitoka kazini umechoka na ukirudi nyumbani unakutana na watoto hapa kuna kujisomea.waafrika tulilogwa tangu dunia inaanza.
makubwa sana.
 
Duh! Siyo hao tu. Wako wengi sana.
 
Kwa kumbukumbu zangu siyo jambo geni kwani huko majuu PhD ya aliyekuwa waziri katika serikali ya ujerumani ya mwanamama Angel Merkel ajulikanae kama Theodor Gotenberg kama sijakosea jina, ilifutwa baada ya kuonekana ame copy na ku paste kazi za watu wengine na hivyo kupelekea kujiuzulu. Kwa hiyo natarajia bwana madelu na Jaffo wangejiuzulu mara moja baada ya kuonekana PhD zao ni za mwendokasi aka. za mchongo......​
 
Watu pekee wanaosoma kweli wakiwa kazini ni wakufunzi/walimu pekee, wengine wanaenda kuchukua vyeti.

Hao wote walienda kuchukua hizo PhDs kwakuwa waliona mzee anazipenda sana.
 
Watu pekee wanaosoma kweli wakiwa kazini ni wakufunzi/walimu pekee, wengine wanaenda kuchukua vyeti.

Hao wote walienda kuchukua hizo PhDs kwakuwa waliona mzee anazipenda sana.
Wakufunzi ni sehemu ndogo sana ya wanafunzi wa masters, wengi wanaomba ruhusa ya miaka miwili makazini wanarudi chuo na maarifa wanayopata ni yaleyale kama hao wakufunzi maana wanafundishwa na wahadhiri walewale na unakuta wamesoma pamoja kutokea degree ya kwanza na wanaweza kuwa bora zaidi yao. Tujaribu kuongea kwa uhalisia badala ya kufanya exaggerations ili kuponda kundi la watu fulani waonekane hawafai lolote.​
 
Jaffo Sawa kabisa. binafsi nilikuwa na mashaka nayo tangu inatangazwa... jamaa ana presentation za undergraduate kabisa japo ni waziri afu uniambie ana PhD? Jafo hapana
mwingine ni Dotto biteko.... yule hana PhD Presentation za kitoto sana anafanya hazifanani na PhD
Futa futa futa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…