Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

Mimi PhD ya Jafo ni Mungu tu anisamehe.

Hawa watu walikuwa mawaziri enzi ya Magufuli, Magufuli yule aliyetaka muda wote watu wafanye kazi. Walipata wapi muda wa kufanyia kazi hizo PhD?

Elimu za watu waliosoma baada ya kuwa viongozi zina mashaka makubwa sana.
Kuna na yule wa Bukombe Waziri anaitwa Biteko naye ana PhD
 
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.
Hivi hawa akina Jafo na Mwigulu Nchemba walitunukiwa hizo PhD na chuo/vyuo gani?!
 
Aisee! Kumbe kuna watu wana PhD za mchongo? Kama ni ya mchongo ifutwe tu. Na afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa kufanya udanganyifu huku akiwa kiongozi wa umma. Na huo uongozi aliopewa nao ufutwe!😡😡😡😡😡😡
Kuna kipindi flani Kuna jamaa alitoaga kitabu kikielezea viongozi wote waliopata madigriii na PhD ya michongo ...alikamatwa na kitabu kikapigwa marufuku badala ya kumjibu hoja zake. Hata ya Mwendazake ilikuwa ya mchongo..bongo nyoso
 
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
Atajua hajui; naunga mkono digrii zote za chupi zifutwe, wanatuchosha sana hawa umbwa!
 
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
Walikuwa wapi wakati wa Phd ya mwendawazimu wa Chato?
 
Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania

Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.

Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.

Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
Hao wote walifanya kitu mbaya elimu yetu
 
Wakuu

Tatizo sio PhDs za watu!Tatizo ni mamlaka zinazotoa hizo phds!

Mimi bora ni Baki na Bachelor yangu inatosha kuliko ukiritimba wa research za mchongo!!
 
Ukihoji wanadhani unaona wivu, ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu.

Kwenye hizi taasisi zetu za elimu sasa hivi utateseka na kupata cheti kihalali kama huna pesa tu.

Jafo huyu huyu aliyekuwa waziri wa TAMISEMI chini ya JPM mtu wa kazi, alipata wapi muda wa kusoma na kuandaa andiko na hatukuwahi muona likizo?

phd ya jiwe ilihojiwa na Ben Sanane ikamgharimu kifo. hata hivyo aliyetoa amri Ben auawe naye akafa
 
Back
Top Bottom