BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Vilaza wengi sana katika kundi tajwa
Mimi PhD ya Jafo ni Mungu tu anisamehe.
Hawa watu walikuwa mawaziri enzi ya Magufuli, Magufuli yule aliyetaka muda wote watu wafanye kazi. Walipata wapi muda wa kufanyia kazi hizo PhD?
Elimu za watu waliosoma baada ya kuwa viongozi zina mashaka makubwa sana.