balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Mzee tunarudi Kule kule kwa shule ya sheriaHahaha, nisamehe mimi mkuu.
Suluhisho hapa ni kuacha ujanja ujanja, sio viongozi tu ambao hufanya huu ujanja ujanja. Watu wengi wanaotaka vyeti tu ili wapande vyeo au waheshimiwe huwa wanaenda vyuoni kujifanya wanasoma kumbe ni zuga tu.
Pia, wakufunzi waheshimu taaluma zao na waache tamaa ya pesa. Maadili ya kazi ni muhimu sana.
Naendelea kuomba radhi pale nilipokukwaza!
Inabidi mpaka uwepo hizi PhD zikiwa hivi basi udahili wao uchunguzwe au kuwe na pannel zao maalumu kureview asters na PhDs wasiwe hawa lecturers wetu wanaowinda fursa
Inaweza kusaidia