The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Wakati wewe unawaza PhD ya Mwigulu kufutwa, taasisi za economic rating zinamsifu kwa kudhibiti mfumuko wa bei kuwa chini ya 6% Kinyume kabisa na Nchi nyingi za Afrika na Dunia..Tumelalamika muda mrefu kuwa kuna PhD zinatolewa kwa baadhi ya wanasiasa wa Tanzania, kama njungu kupitia vyuo vikuu vya Tanzania
Kuna tetesi kuwa East Africa university quality assurance wanatarajia kuifuta PhD ya Mwigulu Nchemba baada ya kuonekana kukopy andiko la mtu mwingine.
Vyanzo vyetu pia vimefuatilia Phd ya Mh. Suleman Jafo nayo ipo matatani kufutwa.
Kwa kauli hii kaeni mkao wa kufuatilia yanayojiri na kwa sasa amepiga kimya kama mtu aliyefiwa na wazazi .
So tatizo sio PhD tatizo ni kuwa intelligent