Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI.
Na. Robert Heriel.
PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja.
Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu ni nyoko, uwezo wake ni mkubwa, Kama ni kijeshi tunamuita komando.
Ufaulu mkubwa wa PhD ya michongo upo katika Nyanja muhimu na nyeti kimaisha,
Embu fikiria mtu kwenye masomo Yafuatayo ananyuka A tupu.
KOZI ZA PhD za michongo ni Kama ifuatavyo;
1. Majumba ya kifahari Alama. A
2. Magari ya kifahari. (Kuanzia matatu) Alama. A
3. Umiliki wa Ardhi Alama. A
4. Umiliki wa watumishi. Alama A. (lazima waanzie watumishi 100)
5. Kusafiri nchi za mbali zaidi ya tano. Alama A.
6. Utawala na mamlaka. Alama A.
7. Familia na watoto wasiopungua sita. Alama A.
Sasa mtu kufaulu kozi hizo Kwa Alama za juu kabisa alafu asipewe PhD ya heshima, embu tuweni Sirius.
Ukifaulu kozi hizo nilizozitaja hapo na huna elimu yoyote ya darasani basi unastahili kupewa PhD ya heshima ambayo Mimi ningeiita PhD ya MICHONGO.
Nani asiyejua ugumu wa kufanikiwa hasa katika nchi ZETU hizi? Nani huyo nauliza.
Msukuma hongera Sana Kwa PhD ya michongo.
Degree ya michongo Raha yake inaonekana kwenye maisha halisi tofauti na degree za darasani ambazo huonekana kwenye makaratasi.
Sisi wenye degree za karatasi tuendelee kuwa wapole.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Sinza, DAR ES SALAAM