PhD ya michongo ni kubwa zaidi ya PhD ya darasani

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI.

Na. Robert Heriel.

PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja.

Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu ni nyoko, uwezo wake ni mkubwa, Kama ni kijeshi tunamuita komando.

Ufaulu mkubwa wa PhD ya michongo upo katika Nyanja muhimu na nyeti kimaisha,
Embu fikiria mtu kwenye masomo Yafuatayo ananyuka A tupu.

KOZI ZA PhD za michongo ni Kama ifuatavyo;
1. Majumba ya kifahari Alama. A
2. Magari ya kifahari. (Kuanzia matatu) Alama. A
3. Umiliki wa Ardhi Alama. A
4. Umiliki wa watumishi. Alama A. (lazima waanzie watumishi 100)
5. Kusafiri nchi za mbali zaidi ya tano. Alama A.
6. Utawala na mamlaka. Alama A.
7. Familia na watoto wasiopungua sita. Alama A.

Sasa mtu kufaulu kozi hizo Kwa Alama za juu kabisa alafu asipewe PhD ya heshima, embu tuweni Sirius.

Ukifaulu kozi hizo nilizozitaja hapo na huna elimu yoyote ya darasani basi unastahili kupewa PhD ya heshima ambayo Mimi ningeiita PhD ya MICHONGO.

Nani asiyejua ugumu wa kufanikiwa hasa katika nchi ZETU hizi? Nani huyo nauliza.

Msukuma hongera Sana Kwa PhD ya michongo.

Degree ya michongo Raha yake inaonekana kwenye maisha halisi tofauti na degree za darasani ambazo huonekana kwenye makaratasi.

Sisi wenye degree za karatasi tuendelee kuwa wapole.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Sinza, DAR ES SALAAM
 
Popote ndio wapi Boss??

Mbona hmwaliyonayo nje ya kuajiriwa haina kazi??
Namaanisha ukiwa imeingia class ukapata hiyo PhD unaweza jivunia na kutamba nayo ila kama umepewa ya heshima si rahisi kutamba nayo maana kuna sehemu watakushusha tu.
 
PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI.

Na. Robert Heriel.

PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja.

Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu ni nyoko, uwezo wake ni mkubwa, Kama ni kijeshi tunamuita komando.

Ufaulu mkubwa wa PhD ya michongo upo katika Nyanja muhimu na nyeti kimaisha,
Embu fikiria mtu kwenye masomo Yafuatayo ananyuka A tupu.

KOZI ZA PhD za michongo ni Kama ifuatavyo;
1. Majumba ya kifahari Alama. A
2. Magari ya kifahari. (Kuanzia matatu) Alama. A
3. Umiliki wa Ardhi Alama. A
4. Umiliki wa watumishi. Alama A. (lazima waanzie watumishi 100)
5. Kusafiri nchi za mbali zaidi ya tano. Alama A.
6. Utawala na mamlaka. Alama A.
7. Familia na watoto wasiopungua sita. Alama A.

Sasa mtu kufaulu kozi hizo Kwa Alama za juu kabisa alafu asipewe PhD ya heshima, embu tuweni Sirius.

Ukifaulu kozi hizo nilizozitaja hapo na huna elimu yoyote ya darasani basi unastahili kupewa PhD ya heshima ambayo Mimi ningeiita PhD ya MICHONGO.

Nani asiyejua ugumu wa kufanikiwa hasa katika nchi ZETU hizi? Nani huyo nauliza.

Msukuma hongera Sana Kwa PhD ya michongo.

Degree ya michongo Raha yake inaonekana kwenye maisha halisi tofauti na degree za darasani ambazo huonekana kwenye makaratasi.

Sisi wenye degree za karatasi tuendelee kuwa wapole.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Sinza, DAR ES SALAAM
Leo nakupongeza kwa kuandika direct to the point, kuliko magazeti marefu unayotupiaga wengi huwa tunayapotezea.
Mkuu hizo pesa wengine wameua, wamekwepa kodi, wameiba,dhulumu, kafara.
Nini maoni yako kwa pesa za namna hio.
 
Mkuu ndio kufanikiwa kwenyewe huko hadi unatunukiwa PHDs za mchongo !!!
 
PhD. YA MICHONGO NI KUBWA KULIKO PhD YA DARASANI.

Na. Robert Heriel.

PhD ya michongo ni degree ya heshima ambayo mtu hafundishwi na mtu isipokuwa maisha. Mkufunzi mkubwa wa PhD ya michongo ni maisha, PhD hii ina coursework na thesis papo hapo Kwa pamoja.

Ogopa mtu mwenye PhD ya michongo huyu ni nyoko, uwezo wake ni mkubwa, Kama ni kijeshi tunamuita komando.

Ufaulu mkubwa wa PhD ya michongo upo katika Nyanja muhimu na nyeti kimaisha,
Embu fikiria mtu kwenye masomo Yafuatayo ananyuka A tupu.

KOZI ZA PhD za michongo ni Kama ifuatavyo;
1. Majumba ya kifahari Alama. A
2. Magari ya kifahari. (Kuanzia matatu) Alama. A
3. Umiliki wa Ardhi Alama. A
4. Umiliki wa watumishi. Alama A. (lazima waanzie watumishi 100)
5. Kusafiri nchi za mbali zaidi ya tano. Alama A.
6. Utawala na mamlaka. Alama A.
7. Familia na watoto wasiopungua sita. Alama A.

Sasa mtu kufaulu kozi hizo Kwa Alama za juu kabisa alafu asipewe PhD ya heshima, embu tuweni Sirius.

Ukifaulu kozi hizo nilizozitaja hapo na huna elimu yoyote ya darasani basi unastahili kupewa PhD ya heshima ambayo Mimi ningeiita PhD ya MICHONGO.

Nani asiyejua ugumu wa kufanikiwa hasa katika nchi ZETU hizi? Nani huyo nauliza.

Msukuma hongera Sana Kwa PhD ya michongo.

Degree ya michongo Raha yake inaonekana kwenye maisha halisi tofauti na degree za darasani ambazo huonekana kwenye makaratasi.

Sisi wenye degree za karatasi tuendelee kuwa wapole.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Sinza, DAR ES SALAAM
Kwani haiwezekani kuwa na zote mbili? Yaani ya michongo na ya darasani?
 
wale wa zile za darasani tunaumia sababu hatuonk manufaa yake na tumekomaa sana kuzipata.
 
Back
Top Bottom