PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

Mbona Mh.kikwete anatumia hiyo Dr popote na hata Marehemu Dr Mengi naye ilikuwa inatumika pote
Ikitumika unavyosema wewe basi itakuwa haina maana sasa.!
Mwalimu Nyerere alikuwa na shahada za heshima zaidi ya 20+ lakini hakuwahi kuitumia hiyo 'ante'.... Rais Obama alikuwa nazo zaidi ya 10+.. hakuwahi kuitumia hiyo 'ante'..
Wao hawatumii isipokuwa magazeti na vyombo vingine vya habari vinatumia pasipo kuelewa..
 
Msukuma ni mtanzania mwenzetu ila amepotoka sana kuhusu swala la elimu kwake yeye anahisi kuwa na pesa ndio kuwa na akili nyingi. Siwezi kumlaumu coz psychologically an entertain defense mechanism ili aweze kusurve bungeni ambako kuna wasomi wengi. Asichokijua Mganga wa kienyeji king msukuma kuwa elimu ni mwanga wa jamii ni chungu kinachopika wataalamu wa fani mbalimbali ambao ni treasures of the nation. Mfano madaktari, walimu, marubani, wanamahesabu na wengine wengi. Ukisikiliza mijadala yake bungeni anavyo underrate wasomi utagundua tatizo lake kuwa ni "shule hamna kichwani'' ana attacks watu badala ya mifumo yenyewe ya elimu. Kuwa ni mbunge kama msukuma kwenye chombo cha kutunga sheria ni janga la kitaifa coz hawezi kufanya analysis badala yake atapiga majungu tu kama tulivyomzoea. Tunaomba wanazuoni wenye nia njema na taifa letu wapaze sauti zao za hekima kukemea kuwa na wabunge aina ya msukuma ni hatari kwa maendeleo ya elimu na taifa kwa ujumla
 
Hahahahahah
 
Kutoka kwenye Mwanasheria wa mchongo hadi mwanazuoni wa mchongoπŸ˜…
 
Bagonza umemaliza kabisa Hawa matapeli
 
Kama Msukuma atapewahio PhD ya mti mti mie siwezi enda poteza mda kuandaa machapisho! Wacha niandae dollar 500 tuπŸ˜…!!!

Kwa hali hii atakayesema pesa sio kila kitu ntamzabua makofi akaseme kituo chochote cha polisi!
Hawa watu wanashusha sn thamani ya elimu yetu
 
Joho la kuchonga aka mti mtiπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…