Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Muulize dr MsukumaKwani kusoma ndio kukamilika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize dr MsukumaKwani kusoma ndio kukamilika ?
Mwalimu Nyerere alikuwa na shahada za heshima zaidi ya 20+ lakini hakuwahi kuitumia hiyo 'ante'.... Rais Obama alikuwa nazo zaidi ya 10+.. hakuwahi kuitumia hiyo 'ante'..Mbona Mh.kikwete anatumia hiyo Dr popote na hata Marehemu Dr Mengi naye ilikuwa inatumika pote
Ikitumika unavyosema wewe basi itakuwa haina maana sasa.!
Unamaanisha na hayati alipata PhD ya mchongo?Ukiona mwanasiasa kapata PhD au master jua ni ya mchongo.
Cha ajabu ana kazi ya kutukana waliosoma kila siku lakini at the same time anapigania na yeye aonekane msomi. Ukisikia sizitaki mbichi hizi ndio hii sasa.Anaipenda elimu lakini hataki kusoma
Maajabu sana haya
Msukuma ni mtanzania mwenzetu ila amepotoka sana kuhusu swala la elimu kwake yeye anahisi kuwa na pesa ndio kuwa na akili nyingi. Siwezi kumlaumu coz psychologically an entertain defense mechanism ili aweze kusurve bungeni ambako kuna wasomi wengi. Asichokijua Mganga wa kienyeji king msukuma kuwa elimu ni mwanga wa jamii ni chungu kinachopika wataalamu wa fani mbalimbali ambao ni treasures of the nation. Mfano madaktari, walimu, marubani, wanamahesabu na wengine wengi. Ukisikiliza mijadala yake bungeni anavyo underrate wasomi utagundua tatizo lake kuwa ni "shule hamna kichwani'' ana attacks watu badala ya mifumo yenyewe ya elimu. Kuwa ni mbunge kama msukuma kwenye chombo cha kutunga sheria ni janga la kitaifa coz hawezi kufanya analysis badala yake atapiga majungu tu kama tulivyomzoea. Tunaomba wanazuoni wenye nia njema na taifa letu wapaze sauti zao za hekima kukemea kuwa na wabunge aina ya msukuma ni hatari kwa maendeleo ya elimu na taifa kwa ujumlaKaribu yote uliyosema ni kweli....
Nilisema hivyo kwa sababu jamii yetu inathamini wenye pesa. Hata uwe profesa uliyeandika mavitabu 100 na unajulikana kimataifa kama huna pesa we ni takataka tu mbele ya jamii. Ndiyo maana akina Musukuma na Kishimba kila siku kutukana maprofesa kwa vile wana pesa japo hawajasoma!
Sijui kama Musukuma anatumia pesa zake kuwakanyaga wengine ila nijuavyo mimi ni mtu mwema na anayejitolea sana jimboni mwake...
HahahahahahNilipokuwa sekondari Kuna mwandishi mmoja wa vitabu mwenye jina la kihaya nimemsahau alileta TAFRANI kwa baadhi ya VIONGOZI kwa kuwataja kuwa si madaktari wa kweli.......
Kuhusu hizi "HONORIS CAUSA" aliyopatiwa mh.Musukuma anaweza kupewa yeyote mwenye MCHANGO katika jamii ...hoja tu ni kutoka CHUO KIKUU GANI CHENYE ITHIBATI ZILIZOSIMAMA .....
Hata Nassib Abdul "alias" Diamond Platinumz naye ana SHAHADA ya heshima kutoka UDSM ........
Jafo au Ili ya magufuliKwani ina tofauti gani na ya Jaffo?
Kutoka kwenye Mwanasheria wa mchongo hadi mwanazuoni wa mchongo😅Msukuma ni mtanzania mwenzetu ila amepotoka sana kuhusu swala la elimu kwake yeye anahisi kuwa na pesa ndio kuwa na akili nyingi. Siwezi kumlaumu coz psychologically an entertain defense mechanism ili aweze kusurve bungeni ambako kuna wasomi wengi. Asichokijua Mganga wa kienyeji king msukuma kuwa elimu ni mwanga wa jamii ni chungu kinachopika wataalamu wa fani mbalimbali ambao ni treasures of the nation. Mfano madaktari, walimu, marubani, wanamahesabu na wengine wengi. Ukisikiliza mijadala yake bungeni anavyo underrate wasomi utagundua tatizo lake kuwa ni "shule hamna kichwani'' ana attacks watu badala ya mifumo yenyewe ya elimu. Kuwa ni mbunge kama msukuma kwenye chombo cha kutunga sheria ni janga la kitaifa coz hawezi kufanya analysis badala yake atapiga majungu tu kama tulivyomzoea. Tunaomba wanazuoni wenye nia njema na taifa letu wapaze sauti zao za hekima kukemea kuwa na wabunge aina ya msukuma ni hatari kwa maendeleo ya elimu na taifa kwa ujumla
😂😂😂😂😂😂😂Mna wivu sana wa kijinga.
Mwenyewe naitwa Dr Massawe nilipewa hii heshima na Mganga mmoja huko zaire.
Hili joho linaonekana la mti mti kabisa au alitoka nalo Bongo😅Hiyo kofia na joho lake vinatia mashaka kabisa
Bagonza umemaliza kabisa Hawa matapeliANAANDIKA BABA ASKOFU BAGONZA[emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nimejua. Siku za karibuni Kuna mtu aliniita kutokea Arusha akaniambia jina langu limependekezwa ili nipewe udaktari wa heshima kwa sababu (akataja nyingi). Kisha akasema zinatakiwa dola 500 haraka sana na deadline ni siku ya pili yake. Akataja chuo hikihiki.
Nikamwambia hiyo hela Sina. Akasema basi leta dola 210 kwa punguzo maalum.
Nikamwambia kwa Sasa Kuna vyuo vikuu 3 humu duniani vinaniomba nipokee udaktari wa heshima kutoka kwao lakini itaambatana na cheki ya dola elfu kumi kwangu. Nikamwambia bado nasita kwa sababu walizonitajia kuwa ninazo bado nina mashaka nazo kama ninazo kweli. Tukaachana hivo.
Kumbe wakapatikana kina Msukuma?!
Hawa watu wanashusha sn thamani ya elimu yetu
Acha unaa wewe, halafu ujue Prof J. Ndio yule mbunge wa watu na wanyama aliyeporwa ubunge kupitia uchafuzi uliopotaeeehProf Jay mjumbe wa kamati kuu ya Chadema
Ndiye Prof pekee pale Ufipa kwa sasa!
Joho la kuchonga aka mti mti😅Pengine huyu Msukuma, hatimaye amejionyesha kuupenda usomi baada ya kuukandia hadharani kwa miaka mingi.
Sasa ametafuta shortcut, udaktari wa heshima.
Huo siyo usomi, short and simple.
Msukuma hajui, kuwa hajui, na kutokujua kwake kumemletea ujinga zaidi kama vile watoto wa chekechea walivyokuwa wana vaa majoho hadi kupelekea utaratibu huo kupigwa marufuku.
Walio karibu na Msukuma wamwambie, hajachelewa, bado kijana.
Akakinoe kichwa kwa elimu ya awali na juu sekondari, ahenyee shahada ya kwanza na ya uzamili na baadaye anoe kichwa na kuwaridhisha walio katika uzamivu, kuwa anastahili uzamivu.
Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake.
Jamaa kaua sana hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake[emoji23]