PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

Mimi huwa nashangaa sana, mtu anapewaje PhD ya 'bure'? Inatakiwa iwe earned na watu waliojitoa kuitumikia elimu ya kiwango hicho.
 
Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili.

Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote Africa. Alikuwa pia anatoa makala keenye magazeti na majarida mbalimbali.

Marais waluofuatia baada ya Mwalimu walichoweza kuandika labda ni CV zao kwani walisaidiwa kila kitu na wasaidizi wao.

Kuna utamaduni umeanzishwa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa ambapo taasisi za elimu ya juu zimekuwa zikiwatunuku shahada za Uzamivu viongozi wakuu wa nchi. Sababu ama merits zinazotumika kuwahalalishia ni mafanikio kwenye eneo la uchumi au maendeleo. Lakini ukifanya tathmini ndogo utagundua nchi zao hazipo hata kwenye uchumi wa kati kwa maana nyingine wapo katika umaskini wa kutupwa.

Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza;

  1. Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi kulazimisha taswira isiyo na ukweli iambatane na sifa za PhD?
  2. Je, hii inawezekana ni muendelezo wa rushwa ndani ya sekta ya elimu? Yaani wasomi wanajipendekeza wakumbukwe na mtawala kupitia recognitions za shahada ya uzamivu bila vigezo vitakiwavyo?
  3. Inawezekana sasa tuamini kwamba hali yetu mbaya kiuchumi na kisiasa ni usaliti wa wakufunzi wetu wanaowaandaa wasomi ambao hushindwa kuitumia elimu yao kwa maslahi ya nchi?
  4. Vipi kuhusu unafiki?
Una mtazamo gani kuhusu hili?
Acha wivu. Watu wanakula mema ya nchi. Bado SUA na Mzumbe wakati ukifika watamvisha midigirii yao ya heshima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wachina wao walipitiliza. Walimpa Jakaya Uprofesa wa heshima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui kwa nini Jakaya hajiiti Profesa Jakaya Kikwete

As long as CCM wapo madarakani
PhD za kujipendekeza zitatolewa bwelele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hadi Musukuma ana PhD [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku atakuja Rais mzuri atafute huu uchafu wote kwa hawa WA kuanzia na MSOGA kuja mbele!
 
Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili.

Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote Africa. Alikuwa pia anatoa makala keenye magazeti na majarida mbalimbali.

Marais waluofuatia baada ya Mwalimu walichoweza kuandika labda ni CV zao kwani walisaidiwa kila kitu na wasaidizi wao.

Kuna utamaduni umeanzishwa Tanzania na baadhi ya nchi za Africa ambapo taasisi za elimu ya juu zimekuwa zikiwatunuku shahada za Uzamivu viongozi wakuu wa nchi. Sababu ama merits zinazotumika kuwahalalishia ni mafanikio kwenye eneo la uchumi au maendeleo. Lakini ukifanya tathmini ndogo utagundua nchi zao hazipo hata kwenye uchumi wa kati kwa maana nyingine wapo katika umaskini wa kutupwa.

Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza;

  1. Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi kulazimisha taswira isiyo na ukweli iambatane na sifa za PhD?
  2. Je, hii inawezekana ni muendelezo wa rushwa ndani ya sekta ya elimu? Yaani wasomi wanajipendekeza wakumbukwe na mtawala kupitia recognitions za shahada ya uzamivu bila vigezo vitakiwavyo?
  3. Inawezekana sasa tuamini kwamba hali yetu mbaya kiuchumi na kisiasa ni usaliti wa wakufunzi wetu wanaowaandaa wasomi ambao hushindwa kuitumia elimu yao kwa maslahi ya nchi?
  4. Vipi kuhusu unafiki?
Una mtazamo gani kuhusu hili?
Kichuguu Kitila Mkumbo lwaitama1 MALCOM LUMUMBA na wanazuoni wengine humu....hili swali linawalenga.
 
Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi
Kama ulimsikiliza Makamba vizuri pale Dodoma hivi majuzi alisema "na ndiyo maana akina Kikwete wakakaa pale chuo kikuu cha Dar Es Salaam na kuamua kukutunuku PhD ya heshima".

Kwa maneno haya ya mzee Makamba ni wazi kwamba mama hizi PhD ni za michingo tu. Akina Kikwete (kwa niaba ya akina Makamba) wanatoa PhD kwa mama kama shukurani ya watoto wao kupewa uwaziri/naibu waziri.
 
Akili ya mtu hupimwa kwa matendo yake, angekuwa mwenye akili angekataa hiyo phd ya kupewa angali anajua hastahili
 
Kama ulimsikiliza Makamba vizuri pale Dodoma hivi majuzi alisema "na ndiyo maana akina Kikwete wakakaa pale chuo kikuu cha Dar Es Salaam na kuamua kukutunuku PhD ya heshima".

Kwa maneno haya ya mzee Makamba ni wazi kwamba mama hizi PhD ni za michingo tu. Akina Kikwete (kwa niaba ya akina Makamba) wanatoa PhD kwa mama kama shukurani ya watoto wao kupewa uwaziri/naibu waziri.
Inaumiza
 
Back
Top Bottom