PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

Mimi huwa nashangaa sana, mtu anapewaje PhD ya 'bure'? Inatakiwa iwe earned na watu waliojitoa kuitumikia elimu ya kiwango hicho.
 
Acha wivu. Watu wanakula mema ya nchi. Bado SUA na Mzumbe wakati ukifika watamvisha midigirii yao ya heshima
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
As long as CCM wapo madarakani
PhD za kujipendekeza zitatolewa bwelele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hadi Musukuma ana PhD [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku atakuja Rais mzuri atafute huu uchafu wote kwa hawa WA kuanzia na MSOGA kuja mbele!
 
Kichuguu Kitila Mkumbo lwaitama1 MALCOM LUMUMBA na wanazuoni wengine humu....hili swali linawalenga.
 
Jopo la Wanazuoni wanaopitisha hizo shahada kwa viongozi wakuu, huwa wanajiona wapo sahihi
Kama ulimsikiliza Makamba vizuri pale Dodoma hivi majuzi alisema "na ndiyo maana akina Kikwete wakakaa pale chuo kikuu cha Dar Es Salaam na kuamua kukutunuku PhD ya heshima".

Kwa maneno haya ya mzee Makamba ni wazi kwamba mama hizi PhD ni za michingo tu. Akina Kikwete (kwa niaba ya akina Makamba) wanatoa PhD kwa mama kama shukurani ya watoto wao kupewa uwaziri/naibu waziri.
 
Akili ya mtu hupimwa kwa matendo yake, angekuwa mwenye akili angekataa hiyo phd ya kupewa angali anajua hastahili
 
Inaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…