PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

Shida hapa ni supervisors na ubalozi wa kufanya kwa niaba, uwaziri ni cheo na unapesa, supervisors na discussants wakimezwa tu kazi kwisha kbsa. Upitishwaji wa proposals za PhD umekuwa Utopolo sana watu wanaogopa kuonekana wanoko na Ualimu haulipi critical observations ni adimu, discussants/supervisors baadhi weupe kwenye topic ya wanafunzi yaani watu wanapewa tu na Hata supervision anaweza kupewa alomaliza juzi tu PhD amsimamie mwanafunzi wa PhD.

TCU inahusika hapa na DVCs, Post grad directors, College/schools principals na Heads of Dept.

USA Utopolo huu haupo.

Maprof wengi wemechoka hawasomi kazi kwa weledi. Kukosoa imekuwa unoko cku hizi. Funika Kombe mwanaharamu apite.

NB: Specialization za ugwiji hakunaga tena, majority ni multidisciplinary nusu nusu robo robo kila kitu.
Ndio ukweli wenyewe.
Ben Saa 8 alikuwa sahihi!
 
View attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?

kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!

Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
Mwendazake aliwafundisha njia za mkato na ikihoji sana unakuwa ben sanane
 
What are the top 5 universities in Tanzania?

1 University of Dar Es Salaam ( World Rank: 2021)
2 Muhimbili University of Health and Allied Sciences ( World Rank: 2520)
3 Sokoine University of Agriculture (World Rank:3877)
4 University of Dodoma ( World Rank: 4896)
5 Mzumbe University (World Rank: 5226)
6 Open University of Tanzania (World Rank: 5398 )

UDOM kimeanza kuwa a mediocre Higher Learning Institute, karibu watatoa PhD kwa Masanja Mkandamizaji.
Kwa Rank ya kimataifa, PhD za UDOM ni makaratasi tu.
Out of 25,000 Universities in the World!!
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
 
swali la prof ni la msingi sana.ndo maana elimu yetu inadharaulika kimataifa sababu Phd zimekuwa kama njugu mtaani.mtu ana Phd lkn kichwani ni mtupu.
Kweli kabisa, Jafo ana rap iroho mbaya lakini presentation na inferration ya facts hakuna pale!
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
Ooh yes well said Comrade!!

Wengi wao wamefanya kwa kutaka sifa tu na sio kingine.

Ninakumbuka kuna Mkurugenzi mmoja alikuwa Board ya Koro-show na sasa hivi kakimbilia TFRA eti nae anasoma PhD wakati kichwani ni hamnazo na hata degree ya kwanza yenyewe hajaifanyia kazi ili aonekane kama kweli kasoma.

Ni kweli kabisa PhD watu wengine wanazitaka kama sifa tu wakati vichwani mwao hakuna kitu.
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
Wanataka title ya u Dr Ili wapate cheo, ila unakuta Wana tafiti mbili ya master's na hyo ya PhD na huwa hawaendelei kufanya tafiti baada ya kuhitimu.
Baada ya kuona Magu anateua PhD watu wakakimbilia huko Ili nao wale mema ya nchi huku vichwani ni empty set
 
View attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?

kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!

Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
CC:
February marope
Lameck madelu
 
Kumekucha !!
 
Back
Top Bottom