Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Wivu unamsumbuaWivu wa nini wakati yeye aliipata kabla miaka nenda rudi na ni Prof. aliebobea katika fani yake na kafundisha wengi? Wivu wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu unamsumbuaWivu wa nini wakati yeye aliipata kabla miaka nenda rudi na ni Prof. aliebobea katika fani yake na kafundisha wengi? Wivu wa nini?
We umeenda ukapata?Nenda na wewe kazipate pale UDOM, PhD za bure bure, kama njugu.
Huna haja ya kusumbua kichwa chako!
Duh! Pia kuipata PhD kihalali bila magumashi sio rahisi inahitaji uwe mwanafunzi wa fulltime au uwe unafanya kazi taasisi za utafiti.Wanataka title ya u Dr Ili wapate cheo, ila unakuta Wana tafiti mbili ya master's na hyo ya PhD na huwa hawaendelei kufanya tafiti baada ya kuhitimu.
Baada ya kuona Magu anateua PhD watu wakakimbilia huko Ili nao wale mema ya nchi huku vichwani ni empty set
Unakuta mtu ana PhD ila hana andiko lolote lile ktk journals zinazotambulika. Kituko zaidi utakuta ana miaka zaidi hata ya miwili toka amemaliza kusoma ila huoni andiko lake popote pale hata ktk local journals tu.Ooh yes well said Comrade!!
Wengi wao wamefanya kwa kutaka sifa tu na sio kingine.
Ninakumbuka kuna Mkurugenzi mmoja alikuwa Board ya Koro-show na sasa hivi kakimbilia TFRA eti nae anasoma PhD wakati kichwani ni hamnazo na hata degree ya kwanza yenyewe hajaifanyia kazi ili aonekane kama kweli kasoma.
Ni kweli kabisa PhD watu wengine wanazitaka kama sifa tu wakati vichwani mwao hakuna kitu.
Wivu wa nini? Wivu juu ya nini? Ili iwe nini?Wivu unamsumbua
Hataki wengine wapateWivu wa nini? Wivu juu ya nini? Ili iwe nini?
Mwandosya acha kukalili ujinga wa baadhi ya walimu wa vyuo ya Waafrika ambavyo vimejaa kasumba ya kijinga eti kwa hili somo huwezi kupata A.View attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?
kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!
Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
Saaaana, kanikera sana huyu mzee. Anadhani tupo karne za akina CarmaxWivu unamsumbua
Ni kweli kabisa mkuu miaka hii ni fwezaaa tuu siyo kama enzi za 1980s...Alitaka mambo yabaki kuwa yaleyale ya miaka ya 80 ,dunia inabadilika
USSR
Prof asishangae, hizo ni PhD za kataView attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?
kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!
Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
Nasubiri nyie mchinga msio na wivu mpate kwanza.We umeenda ukapata?
Nyie ndio mmesoma lakini hamkuelimika!Mwandosya acha kukalili ujinga wa baadhi ya walimu wa vyuo ya Waafrika ambavyo vimejaa kasumba ya kijinga eti kwa hili somo huwezi kupata A.
Ujinga mtupu, huo upunguani umepitwa na wakati saivi wa kusomea UDSM ukajiona wa maana sana kumbe ujinga tu.
Majitu yanapiga open kiulaini afu yanapiga maisha ahahahah
Kusoma hakuna mbadala , ndio maana utapata PhD fafa vyuo kama UDOM tu.Saaaana, kanikera sana huyu mzee. Anadhani tupo karne za akina Carmax
Acha upumbavu weweAlitaka mambo yabaki kuwa yaleyale ya miaka ya 80 ,dunia inabadilika
USSR
What are the top 5 universities in Tanzania?
1 University of Dar Es Salaam ( World Rank: 2021)
2 Muhimbili University of Health and Allied Sciences ( World Rank: 2520)
3 Sokoine University of Agriculture (World Rank:3877)
4 University of Dodoma ( World Rank: 4896)
5 Mzumbe University (World Rank: 5226)
6 Open University of Tanzania (World Rank: 5398 )
UDOM kimeanza kuwa a mediocre Higher Learning Institute, karibu watatoa PhD kwa Masanja Mkandamizaji.
Kwa Rank ya kimataifa, PhD za UDOM ni makaratasi tu.
PhD siyo shahada ya shule ya kata.Hataki wengine wapate