Chosen man
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 543
- 755
Ukisema 'Half cooked elites' utakuwa umewapendelea sana, hawa ni 'Less cooked elites'Half cooked elites au sivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema 'Half cooked elites' utakuwa umewapendelea sana, hawa ni 'Less cooked elites'Half cooked elites au sivyo?
Kweli, tungependa kusikia academic paper presentation zao.Ukisema 'Half cooked elites' utakuwa umewapendelea sana, hawa ni 'Less cooked elites'
Wenzio wanapiga hela we unauza supu ya masikio ya kitimoto hapo Kimara!Kusoma hakuna mbadala , ndio maana utapata PhD fafa vyuo kama UDOM tu.
Waliopata hizo PhD kina Jafo na waende hata ChuoKikuu cha Nairobi na wapresent paper, kama hawakutukanwa!
Kwa hiyo UDOM unapata PhD kwa fweza yako?Wenzio wanapiga hela we unauza supu ya masikio ya kitimoto hapo Kimara!
Eti Jiwe na yeye alikuwa nayo, jamani jamani jamaniHawa wanasiasa hupewa kwa kununua ila kwa nature ya shule Hawa jamaa wasingetoboa kirahisi rahisi hivi tena wako na full time job za uwaziri
[emoji23][emoji23] shida huku mna PhD holder hana hata tafiti tano yeye anataka tu hyo title basi ya kuringishiaEti Jiwe na yeye alikuwa nayo, jamani jamani jamani
Ina fact siku hizi dunia inabadilika vizuri zaid kiasi kuwa zamani publications zilikuwa ngumu kupatikana lakini leo ziko nje nje tu, kwa hiyo wasingeshindwa kutonyesha hizo publications zao.Alitaka mambo yabaki kuwa yaleyale ya miaka ya 80 ,dunia inabadilika
USSR
Yani ukiwaza vyema unakosa connectionHawa wanasiasa hupewa kwa kununua ila kwa nature ya shule Hawa jamaa wasingetoboa kirahisi rahisi hivi tena wako na full time job za uwaziri
Yes wako na full time job, yet wanawahi kumaliza kuliko watu wa academia ambao wako full time na shule na ni staff, I think vyeo vina wa intimidate Hawa wahadhiri wa vyuo plus rushwa, na kuandikiwa hzo kaziYani ukiwaza vyema unakosa connection
Kimsingi mtu yeyote anayenunua cheti ili aonekane ana akili, kimsingi hana akili.Hawa wanasiasa hupewa kwa kununua ila kwa nature ya shule Hawa jamaa wasingetoboa kirahisi rahisi hivi tena wako na full time job za uwaziri
Hapo kwenye kuandikiwa hapo..😭 namkumbuka saa8Yes wako na full time job, yet wanawahi kumaliza kuliko watu wa academia ambao wako full time na shule na ni staff, I think vyeo vina wa intimidate Hawa wahadhiri wa vyuo plus rushwa, na kuandikiwa hzo kazi
Sasa mhaweza kuhoji alipohoji Ben saanane juu ya PhD ya magufuli akaonekana mtovu wa nidhamu na akapotezwa moja kwa moja na nyote nyinyi maprofesa mliufyta hamkusema chochote mlimwacha Ben akipotezwa na vijana wa jiwe leo hii jiwe kaondoka maprofesa wanahoji hut ndio udhaifu wa maprofesa wetu TANZANIA.View attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?
kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!
Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
Na wengi wanaandikiwaHapo kwenye kuandikiwa hapo..[emoji24] namkumbuka saa8
Ifike mahali watu wapimwe kwa inputs zao na impact's kwa taifa na sio kupimwa kwa vyeti vyao, maana wapo wenye vyeti vya kununua huku wao ni empty set kabisaKimsingi mtu yeyote anayenunua cheti ili aonekane ana akili, kimsingi hana akili.
Unamaanisha mtu akitengeneza ndege za mabati na bahati nzuri ikapaa basi, apelekwe akawe rubani au apewe tenda ya kutengeneza ndege? au sijakuelewa?Ifike mahali watu wapimwe kwa inputs zao na impact's kwa taifa na sio kupimwa kwa vyeti vyao, maana wapo wenye vyeti vya kununua huku wao ni empty set kabisa
Watu waangalie ubunifu na utendaji wa watu na impact's kwa jamii na sio kupima mtu ana vyeti tu huku with zero impacts, hata hao wabunifu ka wandege waendelezwe, ujue graduate wanaotakaga college of engineering wengi huenda kufundishwa kazi na ma form four leaver kazi, au vijana wa vetaUnamaanisha mtu akitengeneza ndege za mabati na bahati nzuri ikapaa basi, apelekwe akawe rubani au apewe tenda ya kutengeneza ndege? au sijakuelewa?
Rais ana mamlaka yote nchini , hata kuua!Sasa mhaweza kuhoji alipohoji Ben saanane juu ya PhD ya magufuli akaonekana mtovu wa nidhamu na akapotezwa moja kwa moja na nyote nyinyi maprofesa mliufyta hamkusema chochote mlimwacha Ben akipotezwa na vijana wa jiwe leo hii jiwe kaondoka maprofesa wanahoji hut ndio udhaifu wa maprofesa wetu TANZANIA.