PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

Prof ana hoja ya msingi ila je swali litajibiwa na walengwa kweli?
 
Yule mjeshi padri komandoo karateka
Si mmeona mavitabu maresearch aliyofanya

Ova
 
Kusoma hakuna mbadala , ndio maana utapata PhD fafa vyuo kama UDOM tu.
Waliopata hizo PhD kina Jafo na waende hata ChuoKikuu cha Nairobi na wapresent paper, kama hawakutukanwa!
Wenzio wanapiga hela we unauza supu ya masikio ya kitimoto hapo Kimara!
 
Eti Jiwe na yeye alikuwa nayo, jamani jamani jamani
[emoji23][emoji23] shida huku mna PhD holder hana hata tafiti tano yeye anataka tu hyo title basi ya kuringishia
 
Alitaka mambo yabaki kuwa yaleyale ya miaka ya 80 ,dunia inabadilika

USSR
Ina fact siku hizi dunia inabadilika vizuri zaid kiasi kuwa zamani publications zilikuwa ngumu kupatikana lakini leo ziko nje nje tu, kwa hiyo wasingeshindwa kutonyesha hizo publications zao.
 
Hawa wanasiasa hupewa kwa kununua ila kwa nature ya shule Hawa jamaa wasingetoboa kirahisi rahisi hivi tena wako na full time job za uwaziri
Yani ukiwaza vyema unakosa connection
 
Yani ukiwaza vyema unakosa connection
Yes wako na full time job, yet wanawahi kumaliza kuliko watu wa academia ambao wako full time na shule na ni staff, I think vyeo vina wa intimidate Hawa wahadhiri wa vyuo plus rushwa, na kuandikiwa hzo kazi
 
Hapo kwenye kuandikiwa hapo..😭 namkumbuka saa8
 
View attachment 2047191
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers zinazotambulika kimataifa, ameuliza swali la msingi kabisa.
Ameuliza hivi, inawezekana kweli?
Mbunge mwenye shughuli nyingi, Waziri mwenye shghuli nyingi zaidi, kusoma na kuandika Research papers zinazotambulika kimataifa au kitaifa tu, na akatimiza matakwa ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa(PhD)?

kawaida , PhD hutolewa kwa researcher ambaye anafanya shughuli hiyo si chini ya miaka minne!

Kazi kwako UDOM, kwa kugawa PhD kama peremende!
Sasa mhaweza kuhoji alipohoji Ben saanane juu ya PhD ya magufuli akaonekana mtovu wa nidhamu na akapotezwa moja kwa moja na nyote nyinyi maprofesa mliufyta hamkusema chochote mlimwacha Ben akipotezwa na vijana wa jiwe leo hii jiwe kaondoka maprofesa wanahoji hut ndio udhaifu wa maprofesa wetu TANZANIA.
 
Ifike mahali watu wapimwe kwa inputs zao na impact's kwa taifa na sio kupimwa kwa vyeti vyao, maana wapo wenye vyeti vya kununua huku wao ni empty set kabisa
Unamaanisha mtu akitengeneza ndege za mabati na bahati nzuri ikapaa basi, apelekwe akawe rubani au apewe tenda ya kutengeneza ndege? au sijakuelewa?
 
Unamaanisha mtu akitengeneza ndege za mabati na bahati nzuri ikapaa basi, apelekwe akawe rubani au apewe tenda ya kutengeneza ndege? au sijakuelewa?
Watu waangalie ubunifu na utendaji wa watu na impact's kwa jamii na sio kupima mtu ana vyeti tu huku with zero impacts, hata hao wabunifu ka wandege waendelezwe, ujue graduate wanaotakaga college of engineering wengi huenda kufundishwa kazi na ma form four leaver kazi, au vijana wa veta
 
Sasa mhaweza kuhoji alipohoji Ben saanane juu ya PhD ya magufuli akaonekana mtovu wa nidhamu na akapotezwa moja kwa moja na nyote nyinyi maprofesa mliufyta hamkusema chochote mlimwacha Ben akipotezwa na vijana wa jiwe leo hii jiwe kaondoka maprofesa wanahoji hut ndio udhaifu wa maprofesa wetu TANZANIA.
Rais ana mamlaka yote nchini , hata kuua!
Kama alivyofanyiwa Ben Saanane.
Unafikiri maprofesa ni wajinga?
 
Uzuri wa UDOM upo kwenye majengo tu lakini kitaaluma ni utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom