PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

kumaliza utata basi iwe inasomeka hivi DR MWAKILIMBE SHUNUBI (PhD UDOM) ili mtu ajue kabisa huyu ni phd holder wa udom ili asijaji sana kuhusu machapisho yake
 
Ifike mahali watu wapimwe kwa inputs zao na impact's kwa taifa na sio kupimwa kwa vyeti vyao, maana wapo wenye vyeti vya kununua huku wao ni empty set kabisa
Ni kweli kabisa, Biteko na Jafo hawana contribution to the Academic World.
 
Binafsi sizitambui, lawama kwa chuo, siku hizo PhD utunukiwa hata kwa wasio na elimu, ila michango yao kwenye jamii, tabia zao kuheshimu utu, huyu msukuma maneno aliyomtolea Lowassa kipindi cha kampeni, labda yaandikwe kwenye hicho cheti chake maana hata humu unaweza kupigwa ban, chuo cha namna hiyo kwanza kinajishushia hadhi!
 
Back
Top Bottom