PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

Ndio ukweli wenyewe.
Ben Saa 8 alikuwa sahihi!
 
Mwendazake aliwafundisha njia za mkato na ikihoji sana unakuwa ben sanane
 
Out of 25,000 Universities in the World!!
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
 
swali la prof ni la msingi sana.ndo maana elimu yetu inadharaulika kimataifa sababu Phd zimekuwa kama njugu mtaani.mtu ana Phd lkn kichwani ni mtupu.
Kweli kabisa, Jafo ana rap iroho mbaya lakini presentation na inferration ya facts hakuna pale!
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
Ooh yes well said Comrade!!

Wengi wao wamefanya kwa kutaka sifa tu na sio kingine.

Ninakumbuka kuna Mkurugenzi mmoja alikuwa Board ya Koro-show na sasa hivi kakimbilia TFRA eti nae anasoma PhD wakati kichwani ni hamnazo na hata degree ya kwanza yenyewe hajaifanyia kazi ili aonekane kama kweli kasoma.

Ni kweli kabisa PhD watu wengine wanazitaka kama sifa tu wakati vichwani mwao hakuna kitu.
 
Hivi bongo watu wanasoma PhD kwa ajili ya kufanya tafiti kweli? au ni sifa ya kutaka kuonekana msomi?
Wanataka title ya u Dr Ili wapate cheo, ila unakuta Wana tafiti mbili ya master's na hyo ya PhD na huwa hawaendelei kufanya tafiti baada ya kuhitimu.
Baada ya kuona Magu anateua PhD watu wakakimbilia huko Ili nao wale mema ya nchi huku vichwani ni empty set
 
CC:
February marope
Lameck madelu
 
Kumekucha !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…