PhDmania: Prof Mwandosya auliza kama vigezo vya usomi vimebadilika!

I have got PhD made in Tanzania , engineered by tanzanian😁
 
Grace Mugabe aligonga phd ndani ya miezi mitatu.!!!😂😂😂 Walipochunguza vc alifukuzwa kazi. Kuna haja ya uchunguzi kufanyika kwani hadhi ya chuo iko mashakani.
 
Duh! Pia kuipata PhD kihalali bila magumashi sio rahisi inahitaji uwe mwanafunzi wa fulltime au uwe unafanya kazi taasisi za utafiti.

Kwa huku Afrika chuo kikuu cha Cape Town (UCT) wako serious sana, humalizi PhD kama huna machapisho angalau mawili ktk international journals.
 
Unakuta mtu ana PhD ila hana andiko lolote lile ktk journals zinazotambulika. Kituko zaidi utakuta ana miaka zaidi hata ya miwili toka amemaliza kusoma ila huoni andiko lake popote pale hata ktk local journals tu.
 
Mwandosya acha kukalili ujinga wa baadhi ya walimu wa vyuo ya Waafrika ambavyo vimejaa kasumba ya kijinga eti kwa hili somo huwezi kupata A.

Ujinga mtupu, huo upunguani umepitwa na wakati saivi wa kusomea UDSM ukajiona wa maana sana kumbe ujinga tu.

Majitu yanapiga open kiulaini afu yanapiga maisha ahahahah
 
Kwa nini vyuo vyote vikuu wakuu wake ni wanasiasa au wenye nasaba hizooo
 
Prof asishangae, hizo ni PhD za kata
 
We umeenda ukapata?
Nasubiri nyie mchinga msio na wivu mpate kwanza.
Kutakuwa na
Dk. wa suaruali
Dk. wa magauni
Dk. wa viatu tumika
Dk. wa nguo za ndani wanawake

We kajieleze tu UDOM wanatoa bila hiana.
 
Nyie ndio mmesoma lakini hamkuelimika!
 
Saaaana, kanikera sana huyu mzee. Anadhani tupo karne za akina Carmax
Kusoma hakuna mbadala , ndio maana utapata PhD fafa vyuo kama UDOM tu.
Waliopata hizo PhD kina Jafo na waende hata ChuoKikuu cha Nairobi na wapresent paper, kama hawakutukanwa!
 

Siku naangalia hizo ranking, awali ya udsm nikadhani ikimaaniasha kwa mwaka 2021 😁😁.

I realized later.

Kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…