Binafsi sizitambui, lawama kwa chuo, siku hizo PhD utunukiwa hata kwa wasio na elimu, ila michango yao kwenye jamii, tabia zao kuheshimu utu, huyu msukuma maneno aliyomtolea Lowassa kipindi cha kampeni, labda yaandikwe kwenye hicho cheti chake maana hata humu unaweza kupigwa ban, chuo cha namna hiyo kwanza kinajishushia hadhi!