Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.
PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.
2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!
Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.
2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.
Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.
Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!
Alamsiki!!