PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

Mbona Magufuli alipokuwa anaanzisha kuua na kuteka hukuwahi kukemea?
We chawa .. kwa hiyo hata akitokea raisi kichaa akaua watu milioni tano utasema asikemewe kwa kua Magufuli nae aliua .. Hujui vizazi vinaishi kwa kubadilika kwa kua vizazi vya nyuma vilitapeliwa na sasa unataka iwe hivyo.. acha utapeli na hoja za kitoto chupi
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.

PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.

2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!

Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.

2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.

Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.

Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!

Alamsiki!!
Kwamba unaamini lile.somo.limeandaliwa kwa ajili ya Samuya!
Huwajui wakatoliki vzr wewe!
Kila siku kwa kanisa Ina somo lake.Jitahodi hata utafute shajala yao basi
 
Kwahiyo si lazima somo liendane na tukio (muktadha), sio? Shughuli ya ndoa inaweza kupata somo la wizi, sio?
 
Kumbe sindano ziliingia mpaka kugusa mfupa. Watu wamezoea kutupa vijembe, kwa hiyo ujumbe uliposomwa katika ibada ya misa takatifu wakaishia kuotafsiri kuwa nacho ni kijembe kimetupwa kwao!?🤣🤣

Wakatoliki wapo katika kipindi cha Kwaresma, ule kwao ulikuwa ni ujumbe wa kiimani kwao. Wala haijalishi umepokelewa vipi Kwa wale wasiokuwa waumini.
 
Sindano imewaingia nyie haters wa Samia mpaka mnaharibu shughuli zenu muhimu.
 
Kila mtu alimuona uso ulivyomshuka. Hakutaka hata kuongea maana pale sio mahali pa vijembe vya Vinginguti, pale ni sehemu takatifu
 
Unaweza kukuta huyu nae ni mke wa mtu eti!🤣🤣🤣

Ukweli ni kuwa PhDs zimepigwa knock out na 'darasa la saba'. Mama amekuja mjanja mno kutoijgoa kwenye mtego wa TEC.........kwa kifupi TEC walijikuta wamenasa wenyewe kwenye mtego wao. Bwaaaaaahahahahahahahaaaa
 
Mtu asiposoma vizuri anaweza kudhani wewe ni Abdul au Wanu uliyeleta uzi huu!
Anyway iwavyo vyote lakini Samia alipata ujumbe ndiyo maana aliondoka bila kutoa neno!
Naamini msiba utakuwa umemtafakarisha mengi kuhusiana na okt.29-31,hasa kwa lile somo alilosoma yule binti!
 
Mbona Magufuli alipokuwa anaanzisha kuua na kuteka hukuwahi kukemea?
Reasoning ya kitoto kabisa hii, halafu unajiita 'mstaafu' nina mashaka na utendaji + mchango wako katika hiyo nafasi yako popote ulipo.

Anyways, kuna msemo Wazaramo wanasema, "two wrongs don't make a right". Hata hivyo mbona LHRC, TEC na wanaharakati wengine walipinga maovu yaliyokuwa yakifanywa na JPM na rekodi zipo.
 
Watu watekwe na chadema halafu mumsingizie Samia, nyie wehu kweli kweli.
Sawa watu wanatekwa na CHADEMA, ina maana serikali na vyombo vya ulinzi (hususani PT) wameruhusu CHADEMA waendelee kuteka watu bila kuchukua hatua? Au utekaji siyo kosa la jinai siku hizi??

Hivi unatumia akili yako sawa sawa kweli???
 
Kwahiyo si lazima somo liendane na tukio (muktadha), sio? Shughuli ya ndoa inaweza kupata somo la wizi, sio?
Siku zote somo ni mahsusi kwa walio hai ili waweze kutengeneza njia zao. Marehemu/mwendazake yeye alishamaliza mwendo.
Kuna kosa gani kwa lile somo lilisomwa? Lingekuwa limetoka kichwani kwa msomaji ungekuwa na hoja, lakini ni neno kutoka kitabu cha Wafalme ambalo limo ndani ya BIBLIA Takatifu, kuna shida gani likisomwa mbele ya 'mfalme' alokuwepo wakati huo?

Si ajabu kwa akili zenu mnatamani mkalifute hilo neno.
 
Wenzio tunalipa zaka kwa furaha, wewe unaumia na mambo yetu ya ndani 😂

Dola haiingiliwi, na kanisa haliingiliwi. Usitupangie
 
We chawa .. kwa hiyo hata akitokea raisi kichaa akaua watu milioni tano utasema asikemewe kwa kua Magufuli nae aliua .. Hujui vizazi vinaishi kwa kubadilika kwa kua vizazi vya nyuma vilitapeliwa na sasa unataka iwe hivyo.. acha utapeli na hoja za kitoto chupi
Kuwaua waharibifu wa miundombinu ya Serikali ilikuwa ni jambo la lazima. Yale hayakuwa maandamano, hata wangekuwa 10 as long as wanachoma miundombinu na kuiba mali za watu, risasi ilikuwa ni halali yao
 
Exactly Sir....!!And Nobody Alive He/She Is So Full Headed Upstairs Sir....!!
Usifiche uwehu wako kwenye nadharia za kutunga. You are just one of the emoty headed ndiyo maana unatumia matusi
 
Reasoning ya kitoto kabisa hii, halafu unajiita 'mstaafu' nina mashaka na utendaji + mchango wako katika hiyo nafasi yako popote ulipo.

Anyways, kuna msemo Wazaramo wanasema, "two wrongs don't make a right". Hata hivyo mbona LHRC, TEC na wanaharakati wengine walipinga maovu yaliyokuwa yakifanywa na JPM na rekodi zipo.
Usiwe na wasiwasi na utendaji wangu, nilikuwa brilliant na ninestaafu na nafasi ya afisa masuuli kwenye taasisi niliyokuwa
 
Wauza ngada mnahangika sana baada ya meli yenu kudakwa kila mtu mnamuona ni mbaya wenu.
 
Kuwaua waharibifu wa miundombinu ya Serikali ilikuwa ni jambo la lazima. Yale hayakuwa maandamano, hata wangekuwa 10 as long as wanachoma miundombinu na kuiba mali za watu, risasi ilikuwa ni halali yao
We kajamaa.. Utulivu wa nchi hautulizwi hivyo.. Unajaua kwa nini Dunia etc congo, iraq, somalia , sudani Vikundi mbalimbali vipo vitani na serikali ni matokeo ya haya mambo..NB Kuua raia kwa Risasi ni kazi ndogo sana ila ikifika hatua kuna majibizano ya risasi kati ya police na vikundi imara ie M23 ndo ujisifu kufanya mauaji..
 
Usifiche uwehu wako kwenye nadharia za kutunga. You are just one of the emoty headed ndiyo maana unatumia matusi
Punguza Kisirani Mstaafuu,,, Wewe Sio Mdoli Mafii Yako Lazima Uwe Nayo Tu,,Wala Aihitaji Kuwa Mwehu....
 
Back
Top Bottom