PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

Kwenye msiba ndo sehem sahihu ya kupeana ukweli kusemana ukweli na kukumbuashana kua sote tutakufa ya nn kufanyiana uhuni,kuuana kisa uongozi kutekana na kufanyia ubaya ..Ni kiazi tu ndo ataona wale wamekosea ila wale wako sahihi kabisa tenda mema ukiwa hai sio ufe tuje tukufariji....Jitafakari ww pale ujumbe wa moto ndo pahala pake sahihi
 
Kwahiyo si lazima somo liendane na tukio (muktadha), sio? Shughuli ya ndoa inaweza kupata somo la wizi, sio?
Wewe si ni mkatoliki!
Ulipaswa kulijua hili.
Ulipaswa kujua huu ni mwaka gani wa kanisa.
Na pia ulipaswa kujua kwamba Ile haikuwa ibada ya maziko ilikuwa ni misa ya kawaida.
Ulipaswa pia kuwa na shajala ya kanisa katoliki ukajionea mpangilio wa masomo kwa kila siku!
 
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka.

PhDs zimechemkaje?
1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani), aliweza kuona wazi kuwa yalielekezwa kumchamba Samia zaidi ya kushughulikia msiba. Inachekesha sana. Ni chemko kubwa mno kwa PhD holders😀😀. Tulitarajia makubwa zaidi na ukomavu kutoka kwao.

2. Kutojua kuwa Mh. Majaliwa, Mpango na Jesca ni zao la JK na Samia (wasiowapenda).
PhDs zilitumia nguvu kubwa kuandaa mazingira ya niliowataja hapo 'kushine' katika tukio lao kwa lengo eti la 'kukuumiza' Samia 🤣🤣. Safi tu, sina shida yoyote na hao jamaa zangu....hata kidogo. Ila kitu ambacho PhDs hizi zilijisahau ni kuwa ukimsungimzia Majaliwa na Mpango (majaliwa zaidi) basi umemzungumzia Jk. Hata katika hotuba yake ya kuaga, Majaliwa amemtaja sana jk....mwanzo mwisho. Kama hiyo haitoshi, Mpango amekuwa makamu kipindi Cha Samia na Jesca amepata ubunge sababu ya Samia. Hahahahahahaa, PhDs nazo kumbe hua zinatpka nje ya reli pale chuki zinapotamalaki?!!

Marehemu amedhalilishwaje?
1. Hadhi yake ni kubwa sana haikupaswa kuagwa kwake kuwe na maujingaujinga ndani yake.

2. Lile dongo alilosomewa Samia na yule Binti kwa lengo la kumuumiza limewapiga zaidi marehemu na ndugu zake kuliko Samia mwenyewe. Kwani marehemu alikuwa muuaji Hadi asomewe andiko lile? Au ile event ilikuwa ya Samia?!!! Nina uhakika ndugu wa marehemu, wale wasio na chuki na Samia, hawakupendezwa na ile basi tu hawakuwa na namna. Sijui kitima angetamani siku yake wafanye kama vile walivyomfanyia mwenzao? PhDs hapa walichemka sana.

Kivipi Mchukiwa wao (wanayemchukia) kashinda?
1. Kwa wenye akili, lengo la haters halikutimia; wameumbuka wenyewe. Huu ni ushindi kwa mtengenezewa fitina.
2. Hakutoa neno lolote.....walijiandaa na kuandaa watu wao Ili kupotosha Kila neno ambalo lingetoka kinywani kwake; haikuwa hivyo. Aibu kwao.
3. Ametamka, yule mchukia mkuu wa Samia, "Mheshimiwa Rais...". Huku kukiri (kuwe kwa shingo upande au la) kunatosha.......hivyo vijembe vingine vya kishamba ni vya kupuuzwa tu kama kawaida.

Note:
Jana kazindua ujenzi wa matenki ya mafuta......hupendi maendeleo yake, humpendi yeye kama yeye basi POOOLE sana!

Alamsiki!!
Pumbavu! Umekunywa damu umetamalaki? Mbwa watailamba damu yako!
 
Naunga mkono hoja. Fr Charles Kitima ametumia kipindi chake kama Katibu Mkuu wa TEC kuligombanisha Kanisa dhidi ya Serikali na dhidi ya wananchi wengine.

Kama kweli Kitima ni kiongozi safi na ana PhD kwa nini basi Pope huko Vatican asimteue kuwa Askofu?? Huyu mtu ni very TOXIC

Angalizo: Mimi ni Mkatoliki jimbo kuu la Dar, parokia Bikira Maria wa Huruma, Mbezi Juu
Father Kitima anadhani kila mkatoliki yupo upande wake zinapokuja siasa za Tanzania, kosa hilo anaendelea kuzeeka nalo hakuna aliyewahi kuongea nae kwa maana ya kumfungua akili.
 
Sio Kila mwenye PhD hupewa uaskofu wewe sio mkatoliki Kuna mapadre mabruda na masista wengi TU wana PhD . Wakatoliki tunawaheshimu viongozi wetu harafu kitima ni katibu TU anachofanya ni kusema kilichoamuliwa na kanisa
Kampeni meneja wa Lissu uchaguzi wa 2020 hawezi kuwa katibu tu!. Anachokiamini bila ya kujua anadhani kinaaminiwa na wakatoliki wote.
 
Mtu asiposoma vizuri anaweza kudhani wewe ni Abdul au Wanu uliyeleta uzi huu!
Anyway iwavyo vyote lakini Samia alipata ujumbe ndiyo maana aliondoka bila kutoa neno!
Naamini msiba utakuwa umemtafakarisha mengi kuhusiana na okt.29-31,hasa kwa lile somo alilosoma yule binti!
Kilimramba kama damu yake itakavyo lambwa na mbwa
 
Naunga mkono hoja. Fr Charles Kitima ametumia kipindi chake kama Katibu Mkuu wa TEC kuligombanisha Kanisa dhidi ya Serikali na dhidi ya wananchi wengine.

Kama kweli Kitima ni kiongozi safi na ana PhD kwa nini basi Pope huko Vatican asimteue kuwa Askofu?? Huyu mtu ni very TOXIC

Angalizo: Mimi ni Mkatoliki jimbo kuu la Dar, parokia Bikira Maria wa Huruma, Mbezi Juu
Pumbavu huna akili kama mavi. Hapo kanisa limegombanishwa wapi?
 
Back
Top Bottom